Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Tope la kimiminika sasa linapatikana Tz

BIDHAA inayotumika kuchimbia visima vya mafuta, gesi na maji  ijulikanayo kama tope la kimiminika sasa inapatikana hapa nchini badala ya…

Soma Zaidi »

TPDC yatoa notisi waliopisha bomba la mafuta

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limetoa notisi ya miezi mitatu kwa wananchi waliosaini mikataba ya fidia kupisha mradi wa…

Soma Zaidi »

Kanisa Katoliki lapongeza ujenzi bomba la mafuta

BARAZA la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limeridhishwa na mchakato wa ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika…

Soma Zaidi »

Mchango sekta ya madini wapaa

WAZIRI wa Madini, Dk Doto Biteko amesema mchango wa sekta ya madini unazidi kuongezeka na hadi mwaka 2025 wanatarajia kuvuka…

Soma Zaidi »

Samia: Tanzania ni tajiri wa madini

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ina utajiri wa madini hivyo anataka umakini kuchagua washirika wa kuvuna fursa ya utajiri…

Soma Zaidi »

Bei za mafuta zashuka Zanzibar

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza bei mpya za mafuta kwa kwa mwezi Aprili…

Soma Zaidi »

Taasisi za fedha zawageukia wachimba madini

KATIKA kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa mitaji kwa wachimbaji wadogo wa madini taasisi za fedha zimeshauri kuundwa kikosi kazi…

Soma Zaidi »

Wawili mbaroni lita 2,120 mafuta ya SGR

JESHI la Polisi mkoani Tabora limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na lita 2,120 za mafuta ya dizeli yanayodaiwa…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 30.39 zafidia wananchi bomba la mafuta

SERIKALI imeeleza kuwa Sh bilioni 30.39 zimetolewa kwa wananchi 7,486 kati ya 9,122 katika eneo la Mkuza ili kupisha ujenzi…

Soma Zaidi »

Bei za petroli, dizeli zapungua

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupungua bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta…

Soma Zaidi »
Back to top button