Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Wadau kujadili changamoto wachimbaji wadogo madini

ZAIDI ya wadau 700 wa madini, viwanda na taasisi za kifedha kesho wanatarajiwa kushiriki mkutano wa kwanza jijini Dar es…

Soma Zaidi »

Stamico yasaini mkataba mnono na GGML

KAMPUNI ya Madini ya Taifa (STAMICO), imesaini mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya Sh bilioni 55. 2 na Kampuni…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara Afrika Kusini watafuta fursa za uwekezaji madini

TANZANIA imepokea wafanyabiashara wa madini zaidi ya 30 kutoka nchini Afrika Kusini wanaotafuta fursa za uwekezaji katika sekta hiyo. Hatua…

Soma Zaidi »

Wachimbaji madini watakiwa waache kulalamika

WAZIRI wa Madini Dk Dotto Biteko, amewataka wachimbaji wadogo na wafanyabiashara wa madini nchini kuacha kulalamika badala yake wawajibike kuzingatia…

Soma Zaidi »

Mgogoro wamalizwa kampuni uchimbaji madini

KAMATI maalumu ya wataalamu wa ramani mgodini kutoka Chuo Cha Madini Dodoma imemamliza mgogoro kati ya Kampuni ya Franone na…

Soma Zaidi »

Kamati ya bunge yasifu uwekezaji gesi Mtwara

KAMATI Ya Kudumu ya Bunge Hesabu za Serikali (PAC) imesema uwekezaji ambao umefanywa na serikali katika shughuli za uzalishaji wa…

Soma Zaidi »

Hatma ya Saitoti kujulikana kesho

HATMA ya Madini ya Tanzanite kilo 4 yenye thamani ya mamilioni ya pesa yanayodaiwa kuchimbwa katika mgodi wa Kitalu C…

Soma Zaidi »

Serikali yasitisha uchimbaji tanzanite Kitalu B

WIZARA ya Madini imesitisha shughuli za uchimbaji madini ya tanzanite katika mgodi wa Gem & Rock Venture uliopo kitalu B…

Soma Zaidi »

Mgodi ulioua 8 Geita kurasimishwa

NAIBU Waziri wa Madini Dk Steven Kiruswa, ameagiza mmiliki wa leseni ya utafiti wa eneo la mgodi uliosababisha vifo vya…

Soma Zaidi »

Tani 2 madini ya uranium asilia zapotea Libya

JUHUDI zinaendelea kutafuta zaidi ya tani 2 za madini ya uranium asilia yaliyoripotiwa kupotea kwenye hazina ya madini hayo huko…

Soma Zaidi »
Back to top button