Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Dk Kiruswa azindua mfumo ushirikishwaji jamii

NAIBU Waziri wa Madini, Dk Steven Kiruswa amezindua  mfumo wa ushirikishwaji wa Watanzania katika sekta ya madini na wa utoaji…

Soma Zaidi »

Wanawake watakiwa kutumia fursa sekta zingine

WANAWAKE wametakiwa kukamata fursa katika maeneo mengine ya sekta ya uziduaji, ikiwemo gesi na mafuta, badala ya kujikita katika uchimbaji…

Soma Zaidi »

Mwekezaji alizeti alia na changamoto ya usafarishaji

MWEKEZAJI wa Kiwanda cha kukamua mafuta ya alizeti cha Singida Fresh Oil Mill amemlalamikia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi…

Soma Zaidi »

Gesi ya Mtwara kusambazwa Malawi

BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole amesema mazungumzo kati ya Tanzania na Serikali ya Malawi ya Tanzania kuiuzia gesi…

Soma Zaidi »

Mambo yaiva mradi wa gesi asilia

WIZARA ya Nishati imebainisha kwamba mwezi ujao serikali inatarajia kusaini mkataba wa kuanza Mradi wa Kuchimba Gesi Asilia (LNG) katika…

Soma Zaidi »

Wachimbaji wadogo Kanda ya Kati wapigwa msasa

WACHIMBAJI Wadogo wa madini Kanda ya Kati, wamekutana kwa siku mbili mkoani Singida, kuelimishwa na kukumbushana kuhusu masuala ya usalama,…

Soma Zaidi »

Waziri Biteko awapa somo wachimbaji wadogo

WAZIRI wa Madini, Dk Dotto Biteko, ametoa angalizo kwa wachimbaji wadogo wa madini kutotumia vibaya uhuru wa kuendesha shughuli zao…

Soma Zaidi »

Helium One kuanza kuchimba visima zaidi 2023

KAMPUNI ya Helium One Global Tanzania imepanga kuanza kuchimba visima zaidi nchini Tanzania katika robo ya kwanza ya mwaka ujao…

Soma Zaidi »

Vifo vitokanavyo na ajali migodini vyapungua

IDADI ya vifo vitokanavyo na ajali katika maeneo ya migodi vimepungua kwa kiasi kikubwa kutoka 106  ilivy ripotiwa mwaka 2018…

Soma Zaidi »

Ewura inavyodhibiti majanga ya moto biashara ya mafuta

AGOSTI 10, 2019, Tanzania ilipoteza zaidi ya watu 70 kwa ajali ya moto wa malori ya mafuta. Ajali hiyo ilitokana…

Soma Zaidi »
Back to top button