Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Wakongwe wa soka waliokuwa mafukara wa kutupwa

UMASIKINI. Ukiutaja watu wanapeleka mawazo ya picha za nyumba ndogo zenye mapaa ya nyasi au majani na watu waliovaa nguo…

Soma Zaidi »

Kilio Moro, Mtibwa wameshuka daraja

KIGOMA: Mashabiki wa Kandanda mkoani Morogoro wamepata pigo baada ya Timu ya @mtibwaofficial kushuka daraja. Mtibwa ni moja timu zinazosifika…

Soma Zaidi »

G Nako amtabiria ushindi bondia Nassib Ramadhan

DAR ES SALAAM; Msanii wa hip hop George Sixtus ‘G Nako’  amesema  bondia Nassibu Ramadhani, atamkalisha  Juma Choki  kwenye pambano…

Soma Zaidi »

Motsepe: Bao la Aziz Ki lilikuwa halali

ZANZIBAR; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Patrice Motsepe amesema bao alilofunga Aziz Ki wa Yanga katika…

Soma Zaidi »

Odama hataki mtoto wake awe msanii

DAR ES SALAAM. Msanii wa filamu Jenifer Kyaka ‘Odama’, amesema hapandi kumuona mwanawe akiingia katika masuala ya filamu. Akizungumza Dar…

Soma Zaidi »

Michuano ya vijana Afrika yarindima Unguja

UNGUJA, Zanzibar: UFUNGUZI wa Mashindano ya Afrika ya mpira wa miguu kwa vijana chini ya umri wa miaka 15 ‘African…

Soma Zaidi »

Samatta atwaa ubingwa Ligi Kuu Ugiriki

ATHENS, Ugiriki: NAHODHA wa @taifastars_ Mbwana Samatta @samagoal77 ametwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Ugiriki Msimu wa 2023/24. Hilo ni taji la…

Soma Zaidi »

Mambo yamenoga michuano ya vijana Afrika

UNGUJA, Zanzibar: TIMU ya wavulana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 15 (U15) imepangwa Kundi A ya Michuano ya…

Soma Zaidi »

Usyk bingwa asiyeshindika, amduwaza Fury

RIYADH, Saudi Arabia: BONDIA wa Kiukreni, Oleksandr Usyk amemshinda Tyson Fury, bondia wa Kiingereza, kwa tofauti ya alama na kuwa…

Soma Zaidi »

‘Kama unaweza kumfunga Yanga 4 yeye atakufunga 6’

ARUSHA: Kocha wa Ihefu Fc Mecky Mexime amesema ili kujisifu una timu bora ni lazima ucheze na timu yenye bora…

Soma Zaidi »
Back to top button