Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Dortmund mwamba unaotamba pande zote

PARIS, Ufaransa: USIKU wa Ligi ya Mabingwa barani Ulaya (UCL) umeendelea kwa hatua ya mkondo wa pili wa Nusu Fainali,…

Soma Zaidi »

Steve Mweusi aomba sapoti ya serikali

 MCHEKESHAJI maarufu nchini Steve Moses ‘Steve Mweusi’ ameelezea changamoto anazokutana nazo kwenye sanaa hiyo ikiwemo upungufu wa vitendai kazi, hivyo…

Soma Zaidi »

‘Lugalo Golf Fundraiser’ kusisimua gofu kwa watoto

DAR ES SALAAM: KATIKA kukuza mchezo wa gofu nchini, Klabu ya Gofu ya Lugalo imeandaa ‘Golf Fundraiser’ shindano lenye lengo…

Soma Zaidi »

BASATA latoa siku saba wasanii kujisajili

DAR ES SALAAM: BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA), limetoa rai kwa wasanii zaidi ya 1000 wanaofanya shughuli za sanaa…

Soma Zaidi »

Khalfan Khalmandro afariki dunia

DAR ES SALAAM: MUONGOZAJI na mtayarishaji wa video za muziki ‘vichupa’ nchini, Khalfani Khalmandro amefariki dunia alfajiri ya leo katika…

Soma Zaidi »

Walter Harison: Pacome yupo kamiligado

DAR ES SALAAM: MENEJA wa Klabu ya Yanga, Walter Harson amesema kiungo wa timu hiyo, Pacome Zouzoua yupo tayari kutumika…

Soma Zaidi »

Chama? Yanga wafunguka

DAR ES SALAAM; Mtaani hivi sasa mashabiki wa klabu za Simba na Yanga wameanza kujadili kuhusu usajili wa wachezaji mbalimbali…

Soma Zaidi »

Hakuna ofa rasmi mchezaji yoyote Yanga – Walter Harson

DAR ES SALAAM: MPAKA sasa hakuna ofa rasmi kutoka klabu yoyote Afrika inayohusisha usajili wa mchezaji yoyote wa klabu ya…

Soma Zaidi »

Maisha ya Gigy kuanikwa luningani

DAR ES SALAAM: Mrembo machachari na msanii wa Bongo Fleva Gift Stanford ‘Gigy Money’ anatarajia kuzindua kipindi cha luninga kitakachoonesha…

Soma Zaidi »

Omondi amkalia kooni Diamond chanzo Tanasha

DAR ES SALAAM: NYOTA wa uchekeshaji, Erick Omondi amesema Kenya hawataki pesa kwa Diamond Platnumz badala yake wanataka ng’ombe 500…

Soma Zaidi »
Back to top button