Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Lewandowski aionya Bayern

MUNICH, Ujerumani; Mshambuliaji wa Barcelona, Robert Lewandowski ameionya klabu yake ya zamani ya Bayern Munich kwamba Real Madrid “inashinda michezo…

Soma Zaidi »

Benchikha kwaheri Simba!

DAR ES SALAAM: BAADA ya kuhudumu kwa takribani miezi mitano tu, leo uongozi wa klabu ya Simba ya Dar es…

Soma Zaidi »

Mambo yaiva Great Ruaha Marathon

IRINGA; Kwa kadri shauku inavyoongezeka, msisimko unavyozidi na tarehe inavyokaribia, maandalizi ya mbio za mwendo pole na haraka za Great…

Soma Zaidi »

Ngoma Mchezaji Bora Muungano

ZANZIBAR; Kiungo wa Simba ya Dar es Salaam, Fabrice Ngoma ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa michuano ya Kombe la Muungano…

Soma Zaidi »

Simba bingwa Kombe la Muungano

ZANZIBAR; BAO la kiungo Msenegal Babacar Sarr dakika ya 77, limeiwezesha Simba kuibuka bingwa mpya wa michuano ya Kombe la…

Soma Zaidi »

Mamelodi yaacha gumzo Afrika

AFRIKA KUSINI: Timu ya Mamelodi Sundowns (Masandawana) ya Afrika Kusini imeacha gumzo kwenye Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 19.7 kukarabati Uwanja wa Uhuru

DAR ES SALAAM: Jumla ya Sh bilioni 19.7 zitatumika kukarabati Uwanja wa Uhuru Dar es salaam ‘Shamba la bibi’, hayo…

Soma Zaidi »

Yanga Princess kulipa kisasi Kariakoo dabi?

DAR ES SALAAM: Ligi Kuu ya Wanawake inaendelea leo ambapo Yanga Princess itawaalika vinara wa ligi hiyo Simba Queens mchezo…

Soma Zaidi »

Nipo tayari kuvaa viatu vya Bocco- Waziri Jr

DODOMA: Mshambuliaji wa KMC Waziri Junior amesema yupo tayari kuvaa viatu vya mshambuliaji mkongwe John Bocco na kufanya yale aliyokuwa…

Soma Zaidi »

Simba yafufukia Unguja

UNGUJA, Zanzibar: BAADA ya ukame wa michezo minne pasi na ushindi, mnyama @simbasctanzania leo, Aprili 24, 2024 amefufuka kwa kupata ushindi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button