Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Walter Harison: Pacome yupo kamiligado

DAR ES SALAAM: MENEJA wa Klabu ya Yanga, Walter Harson amesema kiungo wa timu hiyo, Pacome Zouzoua yupo tayari kutumika…

Soma Zaidi »

Chama? Yanga wafunguka

DAR ES SALAAM; Mtaani hivi sasa mashabiki wa klabu za Simba na Yanga wameanza kujadili kuhusu usajili wa wachezaji mbalimbali…

Soma Zaidi »

Hakuna ofa rasmi mchezaji yoyote Yanga – Walter Harson

DAR ES SALAAM: MPAKA sasa hakuna ofa rasmi kutoka klabu yoyote Afrika inayohusisha usajili wa mchezaji yoyote wa klabu ya…

Soma Zaidi »

Maisha ya Gigy kuanikwa luningani

DAR ES SALAAM: Mrembo machachari na msanii wa Bongo Fleva Gift Stanford ‘Gigy Money’ anatarajia kuzindua kipindi cha luninga kitakachoonesha…

Soma Zaidi »

Omondi amkalia kooni Diamond chanzo Tanasha

DAR ES SALAAM: NYOTA wa uchekeshaji, Erick Omondi amesema Kenya hawataki pesa kwa Diamond Platnumz badala yake wanataka ng’ombe 500…

Soma Zaidi »

Chama kuzikosa mechi hizi Simba

DAR ES SALAAM: Baada ya kufungiwa michezo mitatu kwa kosa la kumkanyaga mchezaji, Nickson Kibabage kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous…

Soma Zaidi »

Walter Harson: Sijihusishi na uwakala wa wachezaji

DAR ES SALAAM; MENEJA wa Yanga, Walter Harson, amesema majukumu aliyonayo kwa sasa Yanga hawezi kushughulika na masuala ya uwakala…

Soma Zaidi »

Walter Harson: Utendaji bora ulinileta Yanga

DAR ES SALAAM; MENEJA wa Yanga, Walter Harson amesema utendaji wake bora kwenye tasnia ya habari ni sababu ya Rais…

Soma Zaidi »

Yanga, Coastal, Ihefu zatinga Nusu Fainali

DAR ES SALAAM;TIMU za Yanga, Coastal Union na Ihefu zimetinga Nusu Fainali ya Michuano ya Kombe la Shirikisho la CRDB…

Soma Zaidi »

Bares aichimba mkwara Ihefu

SINGIDA: Kocha mkuu Klabu ya Mashujaa, Abdallah Mohammed maarufu Bares amesema mchezo wao robo fainali ya kombe la shirikisho la…

Soma Zaidi »
Back to top button