Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mashabiki Simba wapata ajali, mmoja afa

PWANI: Mashabiki wa klabu ya Simba waliokuwa katika basi dogo la abiria aina ya Coaster wamepata ajali eneo la Vigwaza…

Soma Zaidi »

Kroos aongeza mwaka mmoja Real Madrid

HISPANIA, Madrid: KIUNGO wa Real Madrid, Toni Kroos, ameamua kusalia katika klabu hiyo kwa msimu mmoja zaidi. Mtaalamu wa masuala…

Soma Zaidi »

‘Debora Mwenda ni namba nyingine’

DAR ES SALAAM: Bondia Debora Mwenda kutoka Fire Stone Gym ametamba kumtwanga mapema mpinzani wake Samira Kasimu kwenye pambano la…

Soma Zaidi »

Messi: Sikuwa tayari kuondoka Barcelona

MAREKANI, Florida: NYOTA wa Inter Miami, Lionel Messi, amekiri kwamba licha ya kutokuwa tayari kuondoka Barcelona lakini alilazimika kwenda kuanza…

Soma Zaidi »

Barcelona yagoma kuuza 7 majira ya joto

BARCELONA,Hispania: RAIS wa Barcelona Joan Laporta amesema wamepokea dau la euro milioni 200 kwa ajili ya kumuuza mchezaji wao Lamine…

Soma Zaidi »

Kapombe: Njooni muone shoo

DAR ES SALAAM: NAHODHA Msaidizi wa Simba SC, Shomari Kapombe amesema wachezaji wa Simba wamejiandaa vizuri kuelekea kuwakabili Al Ahly…

Soma Zaidi »

Huyu Benchikha anajiamini hatari

DAR ES SALAAM: KOCHA Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema vijana wake wapo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi…

Soma Zaidi »

Ahly wameingia ubaridi bwana!

DAR ES SALAAM: KOCHA Mkuu wa timu ya Al Ahly SC ya Misri, Marcel Koller, amesema mchezo wa Robo Fainali…

Soma Zaidi »

Faraji atuma salamu kwa mpinzani wake

DAR ES SALAAM: Bondia Saidi Faraji ‘Kichwa Kisicho na Ubongo’ kutoka Mabibo ametoa kauli za kibabe kwa mpinzani wake, Lucas…

Soma Zaidi »

Mourinho:Nilipata kazi timu ya taifa, Madrid waligoma

KOCHA wa zamani wa AS Roma Jose Mourinho, ameweka wazi kwamba aliwahi kupata nafasi ya kufundisha timu ya Taifa ya…

Soma Zaidi »
Back to top button