Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

‘Simba, Yanga zina nafasi kufuzu CAF’

DODOMA. SERIKALI imesema ina matumaini makubwa na timu za Yanga na Simba katika michezo yao ya marudiano Ligi ya Mabingwa…

Soma Zaidi »

Wapinzani wa Yanga vitani leo

PRETORIA, Afrika Kusini: SIKU tatu kabla ya kurudiana na Yanga SC katika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL),…

Soma Zaidi »

Aziz Ki ashinda mchezaji bora Machi

DAR ES SALAAM: Kiungo wa Yanga SC, Stephen Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Machi. Ki ameshinda…

Soma Zaidi »

Simba hawapoi, wajifua kuikabili Al Ahly

DAR ES SALAAM: KIKOSI cha Simba jana kimerejea mazoezini kujiwinda na mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya…

Soma Zaidi »

Kocha Mamelodi aukubali mziki wa Yanga

DAR ES SALAAM: KOCHA Mkuu wa Mamelodi Sundowns FC, Rulani Mokwena amesema amekutana na Yanga ngumu ndani ya dakika 90′…

Soma Zaidi »

Gamondi: Yanga, Mamelodi vilabu bora Afrika

DAR ES SALAAM: KOCHA Mkuu wa Yanga SC, Miguel Gamondi amesema bado wana nafasi ya kusonga mbele hatua ya Nusu…

Soma Zaidi »

Tshabalala: Haiishi mpaka iishe

DAR ES SALAAM: NAHODHA wa Simba SC, Mohamed Hussein Zimbwe Jr ‘Tshabalala’ amesema kikosi chao bado kina nafasi ya kufanya…

Soma Zaidi »

Yanga, Mamelodi wote wana watu, kazi ipo

DAR ES SALAAM: Wawakilishi wengine wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga, leo wanatupa karata yao katika robo fainali…

Soma Zaidi »

Hii hapa sababu ya kipigo cha Simba

DAR ES SALAAM: Kocha wa Simba Abdelhak Benchikha, ameeleza kuwa kinachomgharimu ndani ya timu hiyo ni kukosa namba kubwa ya…

Soma Zaidi »

Msigwa: Simba waliupiga mwingi dhidi ya Al Ahly

DAR ES SALAAM: Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema Simba walipoteza mchezo wa jana dhidi…

Soma Zaidi »
Back to top button