Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mamelodi yaacha gumzo Afrika

AFRIKA KUSINI: Timu ya Mamelodi Sundowns (Masandawana) ya Afrika Kusini imeacha gumzo kwenye Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 19.7 kukarabati Uwanja wa Uhuru

DAR ES SALAAM: Jumla ya Sh bilioni 19.7 zitatumika kukarabati Uwanja wa Uhuru Dar es salaam ‘Shamba la bibi’, hayo…

Soma Zaidi »

Yanga Princess kulipa kisasi Kariakoo dabi?

DAR ES SALAAM: Ligi Kuu ya Wanawake inaendelea leo ambapo Yanga Princess itawaalika vinara wa ligi hiyo Simba Queens mchezo…

Soma Zaidi »

Nipo tayari kuvaa viatu vya Bocco- Waziri Jr

DODOMA: Mshambuliaji wa KMC Waziri Junior amesema yupo tayari kuvaa viatu vya mshambuliaji mkongwe John Bocco na kufanya yale aliyokuwa…

Soma Zaidi »

Simba yafufukia Unguja

UNGUJA, Zanzibar: BAADA ya ukame wa michezo minne pasi na ushindi, mnyama @simbasctanzania leo, Aprili 24, 2024 amefufuka kwa kupata ushindi wa…

Soma Zaidi »

MO ateta na viongozi Simba

DAR ES SALAAM: MWEKEZAJI wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ amefanya kikao cha ndani na viongozi wa klabu hiyo…

Soma Zaidi »

Samia: Geay, Simbu wameliheshimisha taifa

DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan amemtakia heri mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay katika mbio za Boston…

Soma Zaidi »

Mechi nne hakuna ushindi Simba

SINGIDA: Baada ya mchezo wa leo kumalizika kwa sare Simba sasa wamecheza michezo minne bila kupata ushindi. Simba walipoteza bao…

Soma Zaidi »

Mechi tatu za maamuzi, vita ya Ligi Kuu

DAR ES SALAAM; Ligi ya Championship kwasasa ipo katika hesabu kali kila timu inajitafuta kupata hesabu kamili ifikapo mwishoni mwa…

Soma Zaidi »

Inonga kulikoni? Mbona ameaga

BEKI wa Simba SC, Henock Inonga ameacha maswali kwa baadhi ya mashabiki wa timu hiyo baada ya kuweka alama za…

Soma Zaidi »
Back to top button