Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Matampi Mchezaji Bora Ligi Kuu Februari

DAR ES SALAAM: MLINDA lango wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemkrosia ya Congo (DRC) na klabu ya Coastal Union ya…

Soma Zaidi »

EPL kusimama wiki tatu

BAADA ya raundi ya 28 Ligi Kuu England (EPL) wikiendi hii, ligi hiyo sasa itasimama kwa wiki tatu kupisha michezo…

Soma Zaidi »

Arsenal yakaa kileleni msimamo EPL

ARSENAL sasa imekaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England, baada ya sare ya bao 1-1 kati ya Liverpool na…

Soma Zaidi »

Onana arejesha furaha Simba

TANGA: Simba wameondoka na alama zote tatu kwa kuitandika Coastal Union 2-1 mchezo uliomazika muda mchache uliopita Uwanja wa CCM…

Soma Zaidi »

Mwana FA awakilisha uzinduzi All African Games

ACCRA, Ghana: Mashindano ya Afrika (All African Games 2023) yamezinduliwa rasmi Machi 8, 2024 jijini Accra, Ghana. Rais wa Ghana,…

Soma Zaidi »

Wauaji wa Kusini Wauawa

LINDI: Yanga imerejea kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania bara baada ya kuitandika Namungo FC 3-1 katika mchezo uliomalizika mda mchache…

Soma Zaidi »

Arteta kocha bora Februari

KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amechaguliwa kuwa meneja bora wa Mwezi Februari 2024 wa Ligi Kuu nchini England akishinda kwa…

Soma Zaidi »

Hojlund mchezaji bora EPL Februari

MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Rasmus Hojlund amechagulia kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu England (EPL) kwa mwezi Februari. Hakuna mchezaji…

Soma Zaidi »

Wamiliki kumbi za starehe kuwa na vibali

BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limewataka wamiliki wa kumbi za starehe kujisajili na kupata kibali cha kuendesha biashara zao.…

Soma Zaidi »

Shule za msingi Mtwara zagaiwa mipira kukuza vipaji

CHAMA cha Mpira wa Miguu mkoani Mtwara (MTWAREFA) kimekabidhi mipira 1,000 kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas. Mipira…

Soma Zaidi »
Back to top button