Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mnyama anasaka nyingine tatu

DAR ES SALAAM: Klabu ya Simba leo inatupa karata yake nyingine katika Ligi Kuu huku hesabu zikiwa ni kupunguza tofauti…

Soma Zaidi »

Dube kutua Simba SC?

PRINCE Dube kutua Msimbazi? unaweza kuuliza hivyo mara baada ya klabu ya Azam FC kuthibitisha kupokea ofa kutoka Simba SC.…

Soma Zaidi »

Makamu wa Rais wa uchumi Barcelona ajiuzulu

BARCELONA, Hispania: RAIS wa Barcelona Joan Laporta amethibitisha kupokea barua ya kujiuzulu kwa Makamu wa Rais wa Uchumi wa klabu…

Soma Zaidi »

Messi kuikosa DC United Ligi ya Marekani

MIAMI, Marekani: KOCHA wa timu ya Inter Miami inayoshiriki Ligi Kuu ya Soka Marekani (MLS), Gerardo Tata Martino amesema mchezaji…

Soma Zaidi »

Kibu, Mzamiru walambwa Sh milioni 1

WACHEZAJI wa Simba SC, Mzamiru Yassin na Kibu Dennis wamepigwa faini ya Sh milioni 1 kila mmoja kwa kosa la…

Soma Zaidi »

Azam FC yapigwa faini Sh milioni 1

KLABU ya Azam imetozwa faini ya Sh milioni 1 na Bodi ya Ligi (TPLB) kwa kosa la shabiki wake mmoja…

Soma Zaidi »

Timu za JKT zapewa mbinu

DAR ES SALAAM: Wachezaji wa timu za mpira wa miguu za JKT wametakiwa kuwa na upendo umoja na mshikamano na…

Soma Zaidi »

Gamondi:Inawezekana kuishangaza Mamelodi

DAR ES SALAAM: KOCHA wa Yanga Miguel Gamondi amesema timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini iliyopangwa kucheza na Yanga…

Soma Zaidi »

Diamond aongoza kupokea mkwanja mrefu

WASANII wa Bongo Fleva, Ali Kiba, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ Raymond Shaban ‘Rayvanny’ na Rajab Abdul ‘Harmonize’ wametajwa kuwa wasanii…

Soma Zaidi »

Yanga yapewa Mamelod, Simba dhidi ya Al-Ahly

SIMBA imepangwa kukutana na Al-Ahly ya Misri wakati Yanga ikiangukia mikononi mwa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika michezo yao…

Soma Zaidi »
Back to top button