Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Grealish ana kazi ya kufanya

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola anasema Jack Grealish atarejea kwenye kikosi kiwango chake kitakapoimarika. Kiungo huyo wa Uingereza alikuwa…

Soma Zaidi »

“Yanga tunataka kuongoza kundi”

DAR ES SALAAM: Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema hawaendi nchini Misri kutalii bali wanafuata…

Soma Zaidi »

Simba hakuna muda wa kupoteza

BAADA ya kuwasili kutoka Ivory Coast, kikosi cha Simba SC kitaingia moja kwa moja kambini kujiandaa na mchezo wa Ligi…

Soma Zaidi »

Inonga mgeni rasmi Simba vs Jwaneng

DAR ES SALAAM: MENEJA Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmed Ally amemtaja mlinzi wa kati wa kikosi hicho,…

Soma Zaidi »

Simba kuja na ‘vita ya kisasi’

DAR ES SALAAM: MENEJA Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema mashabiki wa klabu hiyo wanapaswa kuwa sehemu…

Soma Zaidi »

Buriani Peetah

JAMAICA: FAMILIA ya Peter Anthony Morgan (Peetah), mwimbaji kiongozi wa bendi maarufu ya reggae, Morgan Heritage imetangaza kuwa mwimbaji huyo…

Soma Zaidi »

Majogoo watwaa Carabao kibabe

LONDON, England: USIKU wa jana umekuwa muruwa kwa mashabiki wa majogoo wa England, Liverpool FC kwa kutwaa kombe la 10…

Soma Zaidi »

Nje Jogging waipania Kili Marathon 2024

KILIMANJARO: Ikiwa imebakia siku moja kufanyika kwa mbio za kimataifa  za Kilimanjaro (Kilimanjaro International Marathon 2024) Timu ya riadha ya…

Soma Zaidi »

Mshindi wa Maisha Plus 2016 awa mwalimu wa Gym nchini Kuwait

MSHINDI wa Shindano la Maisha Plus 2016 raia wa Kenya, Olive Kiarie amewataka mashabiki zake waliokuwa wakimfuatilia kupitia shindano hilo…

Soma Zaidi »

Yanga kwenye ramani ya robo fainali CAFCL

DAR ES SALAAM: Mabingwa wa kandanda nchini Yanga, leo wanakibarua kizito katika Uwanja wa Benjamini Mkapa wakiwa wenyeji wa CR…

Soma Zaidi »
Back to top button