Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Simba yaongeza utamu, Fredy atupia

TABORA: SIMBA FC wamevuna pointi tatu, magoli 0-4 dhidi ya Tabora United, katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, mjini Tabora.…

Soma Zaidi »

Wazindua droo ya nne ya ‘Upige Mwingi Afcon’

KAMPUNI ya mtandao wa Airtel kwa kushirikiana na Kampuni ya Tecno imezindua droo ya nne ya ‘Upige Mpaka Afcon’ inayotoa fursa…

Soma Zaidi »

Gigy Money awachana wasanii

MSANII wa Bongofleva Gift Stanford, ‘Gigy Money‘ amesema kuwa wasanii wa bongo hawapendani wala hawasapotiani kwa jambo lolote. Gigy Money…

Soma Zaidi »

Gigy: wasanii wa bongo miyeyusho

DAR ES SALAAM: Msanii wa Bongo Fleva Gift Stanford, ‘Gigy Money’ amesema kuwa wasanii wa bongo ni miyeyusho hawapendani wala…

Soma Zaidi »

Burundi,Tanzania wakubaliana kuibua vipaji vya vijana

TAASISI mbili za kukuza, kuibua na kuendeleza soka kwa vijana kutoka Tanzania na Burundi zimeingia makubaliano maalum ya ushirikiano wa…

Soma Zaidi »

Yanga kileleni!

DAR ES SALAAM: USHINDI wa bao 1-0 dakika 85’ umeifanya Yanga SC kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania…

Soma Zaidi »

‘Tumejiandaa vizuri kumkabili mnyama’

TABORA: NAHODHA wa Tabora united, Saidi Mbatty amesema kuwa wachezaji wote katika kikosi chao wamejiandaa vyema kuikabili Simba SC katika…

Soma Zaidi »

Matola: Simba Vs Tabora United haitakua rahisi

TABORA: KOCHA Msaidizi wa Simba SC, Suleiman Matola amesema kuwa kuelekea mechi yao ya kesho dhidi ya Tabora United haitakua…

Soma Zaidi »

Ten Hag: Jeraha la Lisandro baya sana

KOCHA wa Manchester United, Eric Ten Hag amesema jeraha la beki Lisandro Martinez ni baya hivyo huenda akawa nje ya…

Soma Zaidi »

Waarabu wamganda Bruno Fernandez

JIDDAH, Saudi Arabia: KLABU ya Al-Hilal ya nchini Saudi Arabia imepanga kumnunua nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes msimu wa…

Soma Zaidi »
Back to top button