Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Klopp kuachana na Liverpool mwishoni mwa msimu huu

BREAKING: Kocha wa Liverpool, Jürgen Klopp ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo mwishoni mwa msimu huu. Baada ya kuiongoza ‘The Reds’ kwenye…

Soma Zaidi »

Kocha Ivory Coast afungashwa virago

TIMU ya taifa ya Ivory Coast imeachana na kocha wake Jean Louis Gasset. Hatua hiyo ni baada ya timu hiyo…

Soma Zaidi »

Wahalifu 76 wakamatwa Shinyanga

JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga linawashikilia watu 76 kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya uhalifu ukiwemo wizi wa…

Soma Zaidi »

Kocha Gambia ajiuzulu

KOCHA wa timu ya taifa ya Gambia, Tom Saintfiet amejiuzulu wadhifa wake baada ya kushindwa kulivusha taifa hilo hatua ya…

Soma Zaidi »

Salah nje mwezi mmoja

MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Mohammed Salah huenda akawa nje ya uwanja kwa siku 21-28 kutokana na jeraha alilolipata katika mchezo wa…

Soma Zaidi »

Farao aliyepeleka msiba Ghana

WAKATI baadhi ya mataifa kwenye michuano ya AFCON yakiendelea kuumizana, tujikumbushe Farao mmoja wa kuitwa Mohammed Nagy ‘Gedo’ aliyepeleka msiba…

Soma Zaidi »

Tusihofu: Bado mbili za mwisho

*Tusubiri mechi mbili za mwisho* IMEBAKI michezo miwili kufahamu mustakabali wa Tanzania katika kundi F, baada ya leo kupoteza mchezo…

Soma Zaidi »

Taifa Stars haijaisha hadi iishe

HAIJAISHA mpaka iishe, mchezo wa kundi F kati ya Tanzania na Morocco umeenda mapumziko Stars ikiwa nyuma bao 1-0. Bao…

Soma Zaidi »

Mechi tatu za unyama AFCON

WATEMI Cameroon, Nigeria, Misri, Ghana wameshindwa kutamba katika michezo yao ya kwanza ya ufunguzi Mataifa ya Afrika. Misri imeambulia sare…

Soma Zaidi »

Balua atua Simba SC

KLABU ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Edwin Balua kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Tanzania Prisons. Balua…

Soma Zaidi »
Back to top button