Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Ten Hag: Jeraha la Lisandro baya sana

KOCHA wa Manchester United, Eric Ten Hag amesema jeraha la beki Lisandro Martinez ni baya hivyo huenda akawa nje ya…

Soma Zaidi »

Waarabu wamganda Bruno Fernandez

JIDDAH, Saudi Arabia: KLABU ya Al-Hilal ya nchini Saudi Arabia imepanga kumnunua nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes msimu wa…

Soma Zaidi »

DRC wamfukuzisha Mreno Misri

CAIRO, Misri: SHIRIKISHO la Mpira wa miguu nchini Misri (EFA) limefuta kibarua cha Kocha wa timu ya taifa ‘The pharaoh’…

Soma Zaidi »

Mnyama amuita Azam Kirumba

DAR ES SALAAM: KLABU ya @simbasctanzania itautumia Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi…

Soma Zaidi »

Simba Queens wafika kileleni

DAR ES SALAAM: TIMU ya wanawake ya SIMBA Queens imepanda hadi nafasi ya kwanza katika msimamo wa Ligi Kuu ya…

Soma Zaidi »

Simba Queens yapewa ushindi mechi ya JKT

DAR ES SALAAM: SHIRIKISHO la Mpira wa miguu nchini (TFF) imeipoka alama 5 JKT Queens na kuitoza faini ya Sh…

Soma Zaidi »

Bado pointi tano Simba iikute Yanga

BAADA ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa FC, Simba imeendelea kuisogelea Yanga kwa kubakisha pointi tano kufikia. Bao…

Soma Zaidi »

Partey kuikosa Liverpool

BAADA ya siku tatu zilizopita Arsenal kutangaza kurejea kwa kiungo Thomas Partey, kocha wa timu hiyo, Mikel Arteta amesema Mghana…

Soma Zaidi »

Serikali kuanzisha somo uchambuzi wa michezo 

SERIKALI imesema inatarajia kuanzisha somo la uchambuzi wa habari za michezo katika vyuo vinavyofundisha masomo ya uandishi wa habari kama…

Soma Zaidi »

Man City yahamia kwa Alphonso Davies

MANCHESTER City ipo tayari kutoa pauni milioni 80 kuinasa saini ya beki Alfonso Davies kutoka Bayern Munchen ambaye pia Real…

Soma Zaidi »
Back to top button