Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Serikali kuanzisha somo uchambuzi wa michezo 

SERIKALI imesema inatarajia kuanzisha somo la uchambuzi wa habari za michezo katika vyuo vinavyofundisha masomo ya uandishi wa habari kama…

Soma Zaidi »

Man City yahamia kwa Alphonso Davies

MANCHESTER City ipo tayari kutoa pauni milioni 80 kuinasa saini ya beki Alfonso Davies kutoka Bayern Munchen ambaye pia Real…

Soma Zaidi »

Huyo Shikangwa ana balaa!

DAR ES SALAAM: Mshambuliaji wa Simba Queens, Jentrix Shikangwa ameanza kwa kishindo safari ya kucheka na nyavu katika urejeo wake…

Soma Zaidi »

Prodyuza Tongwe Records afariki

MTAYARISHAJI wa muziki kutoka ‘Tongwe Records’ Geof Master amefariki dunia, taarifa ya msanii Roma Mkatoliki inaeleza. Taarifa kuhusu kifo chake…

Soma Zaidi »

Klopp kuachana na Liverpool mwishoni mwa msimu huu

BREAKING: Kocha wa Liverpool, Jürgen Klopp ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo mwishoni mwa msimu huu. Baada ya kuiongoza ‘The Reds’ kwenye…

Soma Zaidi »

Kocha Ivory Coast afungashwa virago

TIMU ya taifa ya Ivory Coast imeachana na kocha wake Jean Louis Gasset. Hatua hiyo ni baada ya timu hiyo…

Soma Zaidi »

Wahalifu 76 wakamatwa Shinyanga

JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga linawashikilia watu 76 kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya uhalifu ukiwemo wizi wa…

Soma Zaidi »

Kocha Gambia ajiuzulu

KOCHA wa timu ya taifa ya Gambia, Tom Saintfiet amejiuzulu wadhifa wake baada ya kushindwa kulivusha taifa hilo hatua ya…

Soma Zaidi »

Salah nje mwezi mmoja

MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Mohammed Salah huenda akawa nje ya uwanja kwa siku 21-28 kutokana na jeraha alilolipata katika mchezo wa…

Soma Zaidi »

Farao aliyepeleka msiba Ghana

WAKATI baadhi ya mataifa kwenye michuano ya AFCON yakiendelea kuumizana, tujikumbushe Farao mmoja wa kuitwa Mohammed Nagy ‘Gedo’ aliyepeleka msiba…

Soma Zaidi »
Back to top button