Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Trent Anord nje kwa wiki kadhaa

BEKI wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold atakuwa nje ya uwanja kwa wiki kadhaa akiuguza jeraha la goti, meneja msaidizi Pepijn Lijnders…

Soma Zaidi »

Pigo Nigeria, Boniface nje Afcon

PIGO kwa Nigeria ambapo mshambuliaji, Victor Boniface anayekipiga Bayer Leverkusen atakosa AFCON huku ikielezwa kuwa huenda akawa nje kwa miezi…

Soma Zaidi »

Sinema ya mchezo wa Simba Queens, Jkt Queens

DAR ES SALAAM: Mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake kati ya JKT Queens na Simba Queens uliokuwa upigwe leo Januari…

Soma Zaidi »

Guinea Bissau, Morocco timu za kwanza kuwasili Ivory Coast

IVORY COAST: Timu za GUINEA Bissau na Morocco zimekua timu za kwanza kuwasili nchini Ivory Coast tayari kwa michuano ya…

Soma Zaidi »

Miaka 3 ya ubora bila Kombe la Mapinduzi

UNGUJA, Zanzibar: LICHA ya ubora wa Yanga SC kwa takribani misimu mitatu mutawalia katika mashindano ya ndani, hata kimataifa, ajabu…

Soma Zaidi »

Yanga yaaga Mapinduzi Cup

Yanga imeaga mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2024 kwa kufungwa mabao 3-1 dhidi ya APR katika mchezo wa robo fainali…

Soma Zaidi »

Nadal kukosa ‘Australia Open’

MCHEZAJI wa tennis, Rafael Nadal atakosa michuano ya Australian Open na badala yake atarejea Uhispania kwa ajili ya matibabu ya…

Soma Zaidi »

Wafungaji bora wa muda wote AFCON

MICHUANO ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2023 (AFCON) inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Januari 13 nchini Ivory Coast. Mataifa 24…

Soma Zaidi »

Nyota wa zamani Brazil afariki dunia

MARIO Zagallo, bingwa mara nne wa Kombe la Dunia akiwa mchezaji na kocha wa Brazil, amefariki akiwa na umri wa…

Soma Zaidi »

Igeni mafanikio ya Dj Miso Misondo – Meya Kumbilamoto

DAR ES SALAAM: MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Omary Kumbilamoto amewataka wasanii wa muziki wa singeli watumie vipaji…

Soma Zaidi »
Back to top button