Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

MC.Pilipili: Kifo cha mama kilinitoa kazini

MCHEKESHAJI maarufu nchini, Emmanuel Mathias maarufu MC Pilipili amesema vifo vya mama yake mzazi na mama yake mdogo vya ajali…

Soma Zaidi »

Wachezaji 10 wakuchungwa Afcon

MAKALA: KOMBE la Mataifa ya Afrika la CAF 2023 linalofanyika 2024,linatarajiwa kuchukuwa sura mpya kutokana na kukithiri kwa nyota wengi…

Soma Zaidi »

AFCON 2024 ni lini? Tarehe, ratiba

Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2024 inatoa nafasi kwa timu 24 zinazowania heshima ya kutawazwa kama timu…

Soma Zaidi »

Simba balozi utalii Zanzibar

WAZIRI wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Simai Mohammed Said ameiteua klabu ya Simba…

Soma Zaidi »

Stars kuondoka na Sh bilioni 17 Afcon?

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itazawadiwa Dola milioni 7 ambazo sawa na Sh bilioni 17.56 endapo itachukua ubingwa…

Soma Zaidi »

Mbappe hajaamua bado

MSHAMBULIAJI wa Paris Saint Germain, Kylian Mbappe amesema bado hajafanya uamuzi wowote kuhusu mustakabali wake. Kwa mujibu wa mwandishi wa…

Soma Zaidi »

Njia hii hapa kushuhudia AFCON

MTANDAO: Shirikisho la mpira wa Miguu nchini TFF limetoa utaratibu kwa mashabiki wanaotaka kusafiri kwenda kuipa nguvu timu ya Taifa…

Soma Zaidi »

Hersi, Try Again ndani kamati ya hamasa timu za taifa

MTANDAO: Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro ameteua kamati maalum kwa ajili ya hamasa kwa timu za…

Soma Zaidi »

Walete waletee! Simba Vs Yanga

DAR ES SALAAM: Mchakamchaka wa Ligi Kuu ya Wanawake utaendela leo ambapo miamba miwili katika ligi hiyo Simba Queens na…

Soma Zaidi »

“Usiku wa Mawe Hananasif”

DAR ES SALAAM: NAIBU Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema Serikali itaendelea kuunga mkono michezo ya aina…

Soma Zaidi »
Back to top button