Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Rice kutangazwa Arsenal leo

#BREAKING: Klabu ya West Ham United imesaini karatasi za mauzo ya £105m kwa Declan Rice kwenda Arsenal. Mtandao wa Sky…

Soma Zaidi »

Zahera kocha mpya Coastal Union

TIMU ya Coastal Union ya Tanga imemteua Mwinyi Zahera kuwa kocha mkuu. Zahera raia wa Congo DR amesaini mkataba wa…

Soma Zaidi »

Yanga yanasa beki kutoka Asec

YANGA imekamilisha usajili wa beki wa kulia, Kouassi Attohoula kutoka Asec Mimosas kwa mkataba wa mwaka mmoja. Beki huyo (26)…

Soma Zaidi »

KMC yaachana na nyota wake tisa

SIKU chache baada ya kumtangaza kocha mpya Abdulhamid Moalin, timu ya KMC imetangaza kuachana na wacheza tisa wa kikosi hicho…

Soma Zaidi »

Simba yamnasa Ngoma

SIMBA SC imetangaza kumsajili Kiungo, Fabrice Ngoma kutoka DR Congo kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Al Hilal ya Sudan.…

Soma Zaidi »

Timu 8 zapewa jezi Super Cup Arusha

TIMU nane zilizofanikiwa kutinga hatua ya Robo Fainali  zimekabidhiwa jezi katika mashindano  ya soka ya Mega FM Super Cup yaliyoandaliwa…

Soma Zaidi »

Kiduku ampa ushindi Dulla Mbabe

BONDIA Twaha Kassim ‘Kiduku’ amesema anampa nafasi Abdallah Pazi ‘Dulla Mbabe’ ya kushinda katika pambano la usiku wa kisasi dhidi…

Soma Zaidi »

Simba kuweka wazi hatima ya Mgunda

UONGOZI wa Klabu ya Simba umesema utaweka wazi hatima ya kocha wake msaidizi, Juma Mgunda baada ya kukamilika mazungumzo kati…

Soma Zaidi »

Ligi Kuu Bara kutimua vumbi Agosti 15

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa Kalenda ya Matukio ya msimu mzima wa 2023/24 inayoyasimamia ikionesha msimu mpya…

Soma Zaidi »

Yanga yamnasa winga kutoka Congo DR

KLABU ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili kiungo mshambuliaji Maxi Mpia Nzengeli kutoka AS Maniema. Nyota huyo raia wa Congo DR…

Soma Zaidi »
Back to top button