Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Shigongo Cup kuibua vipaji

TIMU 22 kati 21 za Jimbo la Buchosa Wilaya Sengerema mkoani Mwanza zinatarajia kumenyana kusaka vipaji kwa vijana wa jimbo…

Soma Zaidi »

Singida Big Day Agosti 2, 2023

SINGIDA Fountain Gate wametangaza Agosti 2, 2023 kuwa ni siku ya tamasha lao la Singida Big Day litakalofanyika uwanja wa…

Soma Zaidi »

Simba kuisubiri Dynamos, African Stars Yanga wapewa Asas

Simba SC imepangwa kukutana na mshindi kati ya African Stars ya Namibia na Power Dynamos ya Zambia kwenye Raundi ya…

Soma Zaidi »

Azam dhidi ya Bahir, SFG na JKU Shirikisho Afrika

Azam FC ya Tanzania imepangwa kucheza na Bahir Dar FC ya Ethiopia katika hatua ya awali ya Kombe la Shirikisho…

Soma Zaidi »

Tundaman, Meja, Whozu kukiwasha Simba Day

SIMBA imewataja wasanii, Tunda Man, Meja Kunta na Whozu kuwa watasherehesha tamasha la Simba Day litakalofanyika Agosti 6, 2023. Meneja…

Soma Zaidi »

Hivi mnamuona Dabo kweli?

KOCHA wa Azam FC, Youssouph Dabo anaendelea kuonesha umahiri wake ambapo mpaka sasa ameshacheza michezo mitatu mikubwa ya kirafiki na…

Soma Zaidi »

Kaze ajiunga Namungo

Aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Klabu ya Yanga Cedric kaze rasmi amejiunga na Klabu ya Namungo kutoka Lindi. Taarifa iliyotolewa na…

Soma Zaidi »

Simba yaagana na Sakho

KLABU ya Simba imefikia makubaliano ya kumuuza kiungo mshambuliaji Pape Sakho kwenda klabu ya Quevilly Rouen Metropole. Simba imetoa taarifa…

Soma Zaidi »

Simba yanasa kipa Mbrazil

UNAWEZA kusema sasa Aishi Manula atakuwa na kazi ya ziada kuhakikisha anaendelea kudumu golini, baada ya leo Simba SC kukamilisha…

Soma Zaidi »

Yanga Princess yaitandika Geita Gold

YANGA Princess imeitandika Geita Gold mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki wa utangulizi katika Tamasha la Wiki ya Mwananchi linaloendelea…

Soma Zaidi »
Back to top button