Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Leicester City washuka daraja

BREAKING: Klabu ya Leicester City ya nchini England imeshuka daraja rasmi, licha ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya West…

Soma Zaidi »

Pochettino asaini Chelsea

RASMI Mauricio Pochettino amesaini mkataba wa kuifundisha Chelsea, makubaliano baina ya pande hizo mbili yalifanyika wiki mbili zilizopita. Mwandishi wa…

Soma Zaidi »

Msiumie! Hata kwao tutawafunga

Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreeden Nabi  amesema bado inawezekana kwa timu hiyo kupata matokeo ugenini licha ya kupoteza kwa mabao…

Soma Zaidi »

Yanga 1 USM Alger 2

NI matokeo ambayo hayakutarajiwa na wengi, lakini ndivyo ilivyo dakika 90 zimemalizika kwa USM Alger kuibuka na ushindi wa mabao…

Soma Zaidi »

Chongolo aitakia heri Yanga

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameitakia heri timu ya Yanga katika mchezo wao wa kwanza wa…

Soma Zaidi »

Dembele kama hataki hivi kusepa Barca

LICHA ya tetesi za kuhusishwa kusepa Camp Nou, winga Osman Dembele amesema kuendelea kubaki Barcelona kwake ni furaha na lengo…

Soma Zaidi »

Xavi: Sihitaji mbadala wa Alba

KOCHA wa Barcelona, Xavi Hernandez amesema hana haja ya kusajili beki mwingine wa kushoto baada ya kuthibitika Jordi Alba ataondoka…

Soma Zaidi »

Kumekucha riadha Kanda ya Ziwa

ZAIDI ya wanariadha 1400 kutoka mikoa ya kanda ya Ziwa na maeneo mbalimbali nchini wanatarajia kushiriki katika mashindano ya riadha…

Soma Zaidi »

Nabi: Tunajivunia Mayele kuwa Yanga

KUELEKEA  mchezo wa fainali ya kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na USM Alger, Kocha Mkuu wa…

Soma Zaidi »

Buriani Tina Turner

ULIMWENGU mzima wa muziki unaomboleza kifo cha gwiji wa muziki, Tina Turner, ambaye alivuma kwa vizazi hadi vizazi. Tukio hili…

Soma Zaidi »
Back to top button