Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Kibadeni matumaini kibao kwa Yanga

KOCHA na mchezaji wa zamani wa Simba, Abdallah Kibadeni amesema yupo tayari kuvaa jezi ya kijani na njano, ili kuipa…

Soma Zaidi »

Dube, Mayele wawania Mchezaji Bora ASFC

KAMATI ya Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imefanya uteuzi wa wachezaji watano kuwania Tuzo ya Mchezaji…

Soma Zaidi »

Kiongozi Simba amchangia Feisal aende CAS

ADUI muombee jana: Baada ya jana kiungo Feisal Salum ‘Feitoto’ katangaza mashabiki wake na mashabiki wa mpira wa miguu nchini…

Soma Zaidi »

Tuzo kiungo bora sio inshu kwa Chama

KUINGO wa Simba, Clatous Chama amesema sio jambo kubwa kwake kutajwa kwenye orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya kiungo bora…

Soma Zaidi »

Salah haamini kukosa UEFA

NYOTA wa Liverpool ‘The Reds’ Mohamed Salah amesema “Nimefadhaishwa” ni baada ya timu hiyo kushindwa kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya…

Soma Zaidi »

Arsenal yatambulisha uzi mpya

KLABU ya Arsenal imetambulisha jezi zao mpya zitakazotumika   msimu wa Ligi Kuu England 2023/2024. Kampuni ya utengenezaji vifaa vya michezo,…

Soma Zaidi »

Mbio za wajawazito zazinduliwa Tanga

MKUU wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, Jokate Mwegelo amezindua mbio za mama mjamzito zijulikanazo kama ‘Mamathon’, ambazo zina lengo…

Soma Zaidi »

Simba yatambulisha skauti

KLABU ya Simba imemtangaza Mels Daalder kuwa Mkuu wa ‘Skauti’ katika benchi la ufundi la timu hiyo lililo chini ya…

Soma Zaidi »

Wilaya ya Mbulu iko tayari Umitashumta

WILAYA ya Mbulu mkoani Manyara imekamilisha zoezi la  kuchagua wachezaji watakaoshiriki mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule…

Soma Zaidi »

Mambo muhimu Yanga, USM Algers

KUELELEA mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika Yanga dhidi ya USM Algers hizi ni namba muhimu kuelekea mchezo…

Soma Zaidi »
Back to top button