Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Waamuzi sita watimuliwa kisa Vini Jr

SHIRIKISHO la Soka la Hispania na Kamati ya Ufundi ya Waamuzi imewatimua waamuzi sita wa VAR kufuatia kumuonesha kadi nyekundu…

Soma Zaidi »

Viwanja kukarabatiwa kwa Afcon 2027

VIWANJA vinane nchini vitafanyiwa ukarabati mkubwa baada ya kuorodheshwa kama vitatumika kwa ajili ya mazoezi katika fainali za Mataifa ya…

Soma Zaidi »

Mabadiliko ya ratiba yairejesha KMC Dar

KIKOSI cha KMC kimerejea Dar es salaam kikitokea Makambako kilipokuwa kimeweka kambi tangu Mei 18, kwa ajili ya michezo miwili…

Soma Zaidi »

Rais Samia anunua tiketi 5000 Yanga Vs USM Algers

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amenunua tiketi 5000 kuelekea mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho Afrika, kati ya…

Soma Zaidi »

Nabi kichwa cha moto fainali shirikisho

KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema atazitumia siku chache zilizobaki kutengeneza mpango maalumu utakao wapa ushindi katika mchezo wa kwanza…

Soma Zaidi »

Refa wa kikongo kuamua fainali shirikisho

SHIRIKISHO la soka Afrika (CAF) limemtangaza mwamuzi mwenye beji ya FIFA, Jean-jacques Ndala (35) raia DR Congo kuwa pilato katika…

Soma Zaidi »

Mayele: Ni msimu wangu bora maishani

MSHAMBULIAJI waYanga, Fiston Mayele amesema anajivunia kuhusika kwenye mafanikio ya timu yake ya Yanga katika michuano mbalimbali, huku akikiri kuwa…

Soma Zaidi »

Kocha Singida akubali Yanga inatisha

KOCHA wa Singida Big Stars Hans Van Pluijim, amesema hana cha kuwalaumu wachezaji wake kwa kupoteza mchezo wa Nusu Fainali…

Soma Zaidi »

Chama afungiwa mechi tatu

KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amefungiwa michezo mitatu ya Ligi Kuu Tanzania Bara na kutozwa faini ya Sh 500,000. –…

Soma Zaidi »

Raha Yanga zazidi kuongezeka

RAHA zinazidi kuongezeka kwa Yanga ya Dar es Salaam. – Yanga tayari imetetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, imeingia…

Soma Zaidi »
Back to top button