Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Harmonize kuweka maisha yake katika filamu

NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘ Harmonize’ amesema ana mpango wa kutengeneza filamu kuelezea maisha yake ya…

Soma Zaidi »

Swear kumshirikisha Ally Kiba

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, kutoka Kisiwani Zanzibar, Ally Swear amesema ana mpango wa kutoa ngoma mpya akimshirikisha Staa…

Soma Zaidi »

Julio aanza mikakati msimu mpya

BAADA ya kuinusuru KMC kushuka daraja, Kocha Mkuu wa timu hiyo Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema tayari ameanza mikakati ya kukisuka…

Soma Zaidi »

Mzize: Ubingwa una maana kubwa kwangu

MSHAMBULIAJI chipukizi wa Yanga, Clement Mzize amesema ubingwa waliochukua jana unamaana kubwa katika historia ya maisha yake ya soka la…

Soma Zaidi »

Tetesi za usajili Ulaya

IMERIPOTIWA Liverpool ipo tayari kutoa Pauni £70m kwa ajili ya kunasa saini ya kiungo wa Brighton, Alexis Mac Allister. Chanzo…

Soma Zaidi »

Silva aaga Chelsea

BEKI wa Chelsea, Thiago Silva ameaga rasmi kwa mashabiki wa timu hiyo ambapo anatarajiwa kuondoka mwishoni mwa msimu huu. “Ningependa…

Soma Zaidi »

Simba kubaki na silaha zake

KLABU ya Simba imesema hakuna mchezaji ambaye yupo kwenye mipango ya yao atakayeondoka msimu huu. Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba,…

Soma Zaidi »

Messi azomewa uwanjani

LIONEL Messi alizomewa na baadhi ya mashabiki wa Paris St-Germain katika mechi yake ya kwanza tangu kusimamishwa kufuatia safari yake…

Soma Zaidi »

Yanga Bingwa 2022/23

YANGA ndiye bingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa mwaka 2022/23, ikiwa ni mara ya pili mfululuzo baada ya…

Soma Zaidi »

Simba yawaomba radhi mashabiki

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ amewaomba radhi wanachama na mashabiki wa klabu…

Soma Zaidi »
Back to top button