Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

MwanaFA apongeza udhamini wa benki michezoni

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo, Hamis Mwinjuma ameipongeza Benki ya NBC kutokana na jitihada zake za kusaidia maendeleo…

Soma Zaidi »

Stars wapo kamili kuiua Uganda

KOCHA Msaidizi wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Hemed Suleiman ‘Morocco’, amesema wamejianda kushinda mchezo wa…

Soma Zaidi »

Kapombe, Tshabalala waongezwa Stars

WACHEZAJI Shomari Kapombe na Mohamed ‘Tshabalala’ wa Simba wamerudishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, ambacho…

Soma Zaidi »

‘Mkeka wa ushindi’ kumpeleka uwanjani atakayetumia ATM

BENKI ya Biashara (NBC) imezindua kampeni ya ‘Mkeka wa Ushindi na ATM za NBC’ itakayowawezesha wateja wake kutwaa zawadi mbalimbali…

Soma Zaidi »

Tuchel kuinoa Bayern

IMEELEZWA kuwa Thomas Tuchel huenda akawa kocha mpya wa Bayern Munchen saa kadhaa zijazo kuanzia sasa. Taarifa ya aliyekuwa mwandishi…

Soma Zaidi »

Messi afikisha mabao 800

NYOTA wa Argentina, Lionel Messi amefikisha mabao 800 katika maisha yake ya soka baada ya jana kufunga bao moja katika…

Soma Zaidi »

Yanga yapania robo fainali Caf

RAIS wa Yanga, Hersi Said amesema wamejipanga kuweka nguvu kwenye maandalizi ya timu yao ili kufanya vizuri kwenye hatua ya…

Soma Zaidi »

Kamati ya bunge yaipongeza wizara ya sanaa, utamaduni na michezo

KAMATI ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepongeza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo…

Soma Zaidi »

Simba yasaini mkataba udhamini timu ya vijana

SIMBA SC imesaini mkataba wa udhamini wa miaka miwili kwa ajili ya kuendeleza soka la vijana wenye thamani ya Sh…

Soma Zaidi »

Simba kuendeleza ukuzaji vipaji

SIMBA SC inakusudia kuendeleza mfumo wa kukuza vipaji vya wachezaji vijana ili kuwa na uwanja mpana wa wachezaji wazuri na…

Soma Zaidi »
Back to top button