Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Kwanini Liverpool inautaka mchezo kuliko United leo

NAFASI ya nne ndiyo kila kitu kwa Liverpool kwa sasa, ndiyo maana mechi ya leo Jumapili kwenye Uwanja wa Anfield…

Soma Zaidi »

Monalisa ashinda tuzo kimataifa

MWIGIZAJI Mtanzania Yvonne Cherrie, maarufu kama ‘Monalisa’ ameshinda tuzo ya kimataifa Emmy Kids 2022 katika series ya ‘My Better World…

Soma Zaidi »

Taifa Stars yapata kocha mpya

SHIRIKISHO la soka nchini (TFF) limemtangaza Adel Amrouche mwenye asili ya Algeria kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya…

Soma Zaidi »

Neymar kuikosa Bayern

NYOTA wa PSG, Neymar atakosa mechi ya raundi ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Bayern Munich kutokana…

Soma Zaidi »

EPL kutimua vumbi leo

RAUNDI ya 26 Ligi Kuu England inaendelea leo na kesho, ambapo mchezo wa mapema zaidi utakuwa kati ya Manchester City…

Soma Zaidi »

Michezo itumike kupunguza mimba na ndoa za utotoni -Mussai

WATOTO wa kike wametakiwa kujikita kwenye michezo hususani soka ili kuepuka mimba na ndoa za utotoni. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi…

Soma Zaidi »

Firmino kusepa Liverpool

Mshambuliaji wa Liverpool. Roberto Firmino ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu, kwa mujibu wa ripoti. Timu hiyo inataka kumuandalia…

Soma Zaidi »

Thiago Silva nje wiki sita

KOCHA wa Chelsea, Graham Potter amesema beki Thiago Silva atakuwa nje ya uwanja kwa wiki sita kutokana na majeraha aliyoyapata…

Soma Zaidi »

Arteta: Jesus bado kidogo

KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema matarajio ya kurejea uwanjani kwa mshambuliaji Gabriel Jesus “hayupo mbali ila yupo mbali kurejea”…

Soma Zaidi »

Pugu Marathon kuanza Mei, 27, 2023

MBIO za Hisani za Pugu Marathon, zinatarajia kufanyika Mei 27, mwaka huu kuanzia eneo la Hija Pugu hadi Kisarawe. Mbio…

Soma Zaidi »
Back to top button