Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mabondia JKT waahidi ushindi

MABONDIA wanawake kutoka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wameahidi kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kwenye pambano la wanawake  Machi 11,…

Soma Zaidi »

Nyota wa Yanga afiwa na mtoto

KIUNGO wa Yanga, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, amefiwa na mtoto wake aitwaye Feisal Salum katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar…

Soma Zaidi »

Chelsea kupindua matokeo leo?

CHELSEA itakuwa na kazi ngumu ya kuhakikisha inapindua matokeo ya mchezo uliopita wakati timu hiyo itakaporudiana na Dortmund katika mchezo…

Soma Zaidi »

Magwiji wataka Bruno kuvuliwa unahodha

Bruno Fernandes hapaswi kuwa nahodha wa Manchester United kufuatia kipigo cha aibu cha 7-0 Jumapili kutoka kwa Liverpool, anasema Chris…

Soma Zaidi »

Atangaza kununua kila goli Simba, Yanga CAF

MDAU wa michezo ambaye pia ni shabiki na mwanachama wa klabu ya Yanga kutoka mjini Geita, Hussein Mwananyanzara ametangaza kununua…

Soma Zaidi »

Feisal aomba kuvunja mkataba Yanga

KIUNGO Feisal Salum ‘Fei Toto’ , leo Machi 6, 2023, ametinga ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF),…

Soma Zaidi »

Liverpool yaiadhibu vibaya United Anfield

LIVERPOOL imeibamiza Manchester United mabao 7-0 kwenye Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) katika mechi iliopigwa kwenye Uwanja wa Anfield Jumapili.…

Soma Zaidi »

Mbappe sasa mfungaji bora PSG

BAADA ya kufunga bao moja katika mchezo wa Ligue 1 dhidi ya Nantes jana, Kylian Mbappe amekuwa mfungaji bora wa…

Soma Zaidi »

Pambano la Nassib lakwama Nigeria

BONDIA wa ngumi za kulipwa  hapa nchini Nassib Ramadhan, amesema kuwa pambano lake dhidi ya Rilwan Oladosu kutoka Nigeria limeota…

Soma Zaidi »

Kwanini Liverpool inautaka mchezo kuliko United leo

NAFASI ya nne ndiyo kila kitu kwa Liverpool kwa sasa, ndiyo maana mechi ya leo Jumapili kwenye Uwanja wa Anfield…

Soma Zaidi »
Back to top button