Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Odemba asema hajaacha mitindo

MWANAMITINDO Miriam Odemba amesema hajaacha kazi hiyo kama ambavyo baadhi ya mashabiki zake wamekuwa wakimnyooshea vidole kutokana na kujiingiza kwenye…

Soma Zaidi »

Ritha: Namkubali Harmonize

MKURUGENZI na muaandaaji wa shindano maarufu la kusaka vipaji vya muziki, Bongo Star Search (BSS), Ritha Paulsen amemsifia msanii Rajabu…

Soma Zaidi »

Marioo azungumzia mafanikio yake

MSANII wa muziki wa bongofleva Omary Mwanga, ‘Marioo’ amesema kuwa msingi wa mafanikio yake ni kujituma na  kuwa na muendelezo…

Soma Zaidi »

JWTZ wapongezwa kukuza michezo

WAZIRI wa Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mohamed Mchengerwa  amelipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa jitihada zake…

Soma Zaidi »

Mashindano ya mbuzi kukusanya Sh Mil.100

RAIS wa Rotary Klabu ya Oysterbay, Dar es Salaam ,Krutin Shah, amesema wanatarajia kukusanya kiasi cha Sh milioni 100, ili…

Soma Zaidi »

Serikali yaelekeza pambano la Mwakinyo lifuatiliwe

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa, amelielekeza Baraza la Michezo la Taifa (BMT), kufuatilia tukio la pambano la…

Soma Zaidi »

Waziri Mchengerwa ataka tathmini kuvurunda Stars

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa, amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kukutana mara  moja na Baraza la…

Soma Zaidi »

Barrick yaja na kombe la mahusiano

MGODI wa dhahabu wa Barrick North Mara, kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Tarime, umeandaa mashindano ya soka ya…

Soma Zaidi »

Fiesta yazinduliwa kwa staili yake

MSIMU wa Fiesta 2022 umezinduliwa juzi kwa staili ya aina yake kwa wasanii wa muziki kuonesha umahiri wao juu ya…

Soma Zaidi »

Geita, JMK nusu fainali mabingwa wanawake

TIMU za Bunda Queens, Geita Gold Queens, Mwanza Queens na JMK Park zimetinga nusu fainali ya mashindano ya ligi ya…

Soma Zaidi »
Back to top button