Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Gabriel Jesus amerejea!

LONDON: MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Gabriel Jesus, amerejea mazoezini baada ya kukosekana uwanjani kwa miezi 10 kutokana na majeraha aliyoyapata mwezi…

Soma Zaidi »

Kelvin John aitwa Taifa Stars

KOCHA Mkuu mpya wa timu ya Taifa (Taifa Stars) Miguel Gamondi ameita kikosi cha wachezaji 23 kitakachoingia kambini kwa ajili…

Soma Zaidi »

Yanga waikunia kichwa Mtibwa Sugar

DAR ES SALAAM:  KOCHA Msaidizi wa Yanga, Patrick Mabedi, amesema mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar utakuwa mgumu na kuwataka…

Soma Zaidi »

Mtanzania ang’ara kuogelea baharini Kenya

NAIROBI: LOLITA Borega ameibuka gumzo baada ya kung’ara katika mashindano ya AA Junior and Senior Open Water Swimming Championship yaliyofanyika…

Soma Zaidi »

Barnabasi: Maisha Bila Watu Hayana Thamani

DAR ES SALAAM:MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Barnabas Elias, amesema kuwa watu ndio kitu cha msingi zaidi katika dunia…

Soma Zaidi »

Mwanamuziki raia wa mali kuongoza Sauti za Busara 2026

DAR ES SALAAM: Mwanamuziki kutoka nchini Mali, Salif Keita, anatarajiwa kutumbuiza katika toleo la 23 la Tamasha la Sauti za…

Soma Zaidi »

Mnyama kumaliza kazi kwa Mkapa leo

DAR ES SALAAM: Klabu ya Simba SC inaingia dimbani kwenye mchezo wa marudiano wa kufuzu makundi Ligi ya Mabingwa Afrika…

Soma Zaidi »

Hiki ni kiumbe au AI?

DAR ES SALAAM: Huyu jamaa ni binadamu kweli? au AI! Unaambiwa hadi sasa Cristiano Ronaldo amefikisha mabao 950 katika maisha…

Soma Zaidi »

Singida BS yapenya makundi CAF

DAR ES SALAAM; TIMU ya soka ya Singida Black Stars ya Tanzania imetinga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika…

Soma Zaidi »

Kocha mpya Yanga huyu hapa!

DAR ES SALAAM;  KITENDAWILI cha nani atakuwa Kocha Mkuu mpya wa timu ya Yanga ya Dar es Salaam, kimetegulies usiku…

Soma Zaidi »
Back to top button