Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Ilkay Gündoğan arejea Man City

KIUNGO Ilkay Gündoğan amejiunga tena na Manchester City mwaka mmoja tu baada ya kuondoka klabu hiyo kwenda kuitumikia Barcelona. Habari…

Soma Zaidi »

Gamondi: Nina timu bora, imekamilika

KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi anajivunia kikosi chake akisema ana timu iliyokamilika kila idara. Gamondi amejivunia hayo leo Agosti…

Soma Zaidi »

Kwata kupigwa Lake Tanganyika leo

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja kwenye uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma. Wenyeji Mashujaa itakuwa nyumbani kaikarisha…

Soma Zaidi »

Simba Queens kibaruani kufuzu CAF leo

KLABU ya Simba Queens leo itaikabili PVP Buyenzi ya Burundi katika mchezo wa mwisho makundi katika michuano ya kufuzu Ligi…

Soma Zaidi »

Tanzania U12 wasichana kutwaa kombe China leo?

TIMU ya Taifa ya wasichana chini ya miaka 12 itashuka dambani leo mchana kwa saa za Tanzania kukiwasha dhidi ya…

Soma Zaidi »

Tanzania U12 wasichana yatinga nusu fainali

Soma Zaidi »

Kamati Afcon 2027 yaridhia uundaji kamati ndogo

DAR ES SALAAM: KAMATI ya Taifa ya Maandalizi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 imekutana kupitia na…

Soma Zaidi »

Samia aweka jiwe la msingi Suluhu Sports Academy

Soma Zaidi »

‘Yoro hana makubaliano ya maandishi Man United’

TETESI za usajili zinasema Leny Yoro hana makubaliano ya maandishi na ‘Mashetani Wekundi’ Manchester United jambo ambalo litamruhusu kujiunga na…

Soma Zaidi »

Tanzania U12 wasichana yaendeleza ‘ubaya ubwela’

Soma Zaidi »
Back to top button