Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Timu za Tanzania zagawa dozi Feasssa Uganda

TIMU za Tanzania zinazoshiriki michuano ya shule za msingi na sekondari ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA) zimeendelea…

Soma Zaidi »

Tanzania U12 wasichana yafanya mauaji China

Soma Zaidi »

Simba Queens yatinga nusu fainali kufuzu CAF

MIAMBA ya soka la wanawake klabu ya Simba Queens leo imefuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kufuzu Ligi…

Soma Zaidi »

Gundogan akubali kurejea Barcelona

IMERIPOTIWA kiungo wa Barcelona, Ilkay Gundogan amekubali kurejea Manchester City. Kwa mujibu wa mwandishi wa habari za michezo kutoka Italia,…

Soma Zaidi »

Ateba ruksa kucheza ligi kuu

DAR ES SALAAM: MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Leonel Ateba ruska kuitumikia klabu hiyo katika michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara…

Soma Zaidi »

Napoli yaitaka saini ya Lukaku kwa mkopo

TETESI za usajili zinasema klabu ya Napoli imewasilisha ofa kumsajili Romelu Lukaku kwa mkopo huku kukiwa na chaguo la kumnunua…

Soma Zaidi »

Tanzania yaichapa Uganda mashindano ya Feassa

TIMU ya soka wasichana kutoka Tanzania imeshinda mabao 2-0 katika mchezo wa mashindano ya 22 ya michezo ya shule za…

Soma Zaidi »

Balozi Simuli awapa neno vijana Watanzania

BALOZI wa Tanzania nchini Uganda, Meja Jenerali  Paul Simuli ametoa rai kwa vijana wote nchini Tanzania kushiriki michezo ili  kupata…

Soma Zaidi »

Yanga yaipania Vital O mchezo wa marudiano CAF

YANGA imesema mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Vital O ya Burundi utatumika kuzindua rasmi msimu mpya…

Soma Zaidi »

Patashika za EPL, Ligue 1 kuanza leo

MSIMU mpya wa Ligi Kuu England(EPL) na Ufaransa 2024/2025 unaanza leo kwa mchezo mmoja kila ligi. ‘Mashetani Wekundu’, Manchester United…

Soma Zaidi »
Back to top button