Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Pazia Ligi Kuu bara kufunguliwa leo

MSIMU mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025 unaanza leo kwa mchezo mmoja wa ufunguzi kufanyika jijini Mwanza. Pamba Jiji…

Soma Zaidi »

Barcelona yageukia kwa Kingsley Coman

TETESI za usajili zinasema klabu ya Barcelona imeelekeza nia yake ya usajili kwa winga wa Bayern Munich, Kingsley Coman baada…

Soma Zaidi »

Laliga kuanza kutimua vumbi leo

LIGI Kuu Hispania-Laliga msimu wa 2024/2025 inaanza kutimua vumbi leo kwa michezo miwili. Athletic Club na Getafe ndizo zitafungua dimba kwenye uwanja…

Soma Zaidi »

Kombe la UEFA Super kupigwa Poland leo

REAL Madrid ya Hispania na Atalanta ya Italia zinashuka dimbani leo katika mchezo kuwania Kombe la UEFA Super. Mchezo huo…

Soma Zaidi »

Liverpool yamfikiria Giorgi Mamardashvili

KLABU ya Liverpool inafikiria uhamisho wa golikipa wa Valencia Giorgi Mamardashvili kwa ada ya pauni milioni 35 huku kukiwa na…

Soma Zaidi »

Ni vita ‘dabi’ nusu fainali Ngao ya Jamii leo

NUSU fainali ya kibabe ya mchezo wa ‘dabi’ Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba inapigwa leo kwenye uwanja…

Soma Zaidi »

Tanzania yaanza vyema kriketi U19 Afrika

TIMU ya taifa ya Kriketi kwa vijana chini ya  miaka 19 imeanza vyema michuano ya Afrika daraja la pili kufuzu…

Soma Zaidi »

Villa yamuelewa Lukaku, yeye akataa

TETESI za usajili zinasesema Aston Villa imekubaliana dili na Chelsea kumsajili mshambuliaji Romelu Lukaku, ambaye kwa sasa anakataa kuingia katika…

Soma Zaidi »

Pamba Fc wazindua tawi sengerema

MWANZA: ZIKIWA  zimebaki siku chache kabla ya siku inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka Jijini Mwanza kuelekea tamasha la…

Soma Zaidi »

Mashindano ya kriketi kimataifa kuanza leo

DAR-ES-SALAAM: Mashindano ya Cricket World Cup Africa Division 2 Qualifier kuanza  leo katika viwanja vya Gymkhana Posta jijini Dar es…

Soma Zaidi »
Back to top button