Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

TPSA sasa kwenda kimataifa

DAR-ES-SALAAM: Chama cha Kuogelea kwa watu wenye ulemavu (TPSA) kimepata uanachama wa muda wa Shirikisho la Kimataifa la Michezo kwa…

Soma Zaidi »

Waendesha baiskeli 200 kumuenzi Nyerere

DAR ES SALAAM :ZAIDI ya waendesha baiskeli 200 kutoka nchi mbalimbali kushiriki msafara wa Twende Butiama kumuenzi Mwalimu Julius Kambarage…

Soma Zaidi »

Manchester United haijamsahau Frenkie de Jong

TETESI za usajili zinasema Manchester United imerejea katika mazugumzo na Barcelona kuhusu kumsajili Frenkie de Jong. Miamba ya Catalan inahitaji…

Soma Zaidi »

Baki na pesa yako tiketi zimeisha

DAR ES SALAAM :Klabu ya Simba imemaliza uuzaji wa tiketi zote kwa siku tatu kuelekea siku kilelele cha tamasha lijulikanalo…

Soma Zaidi »

Kampeni ya zote ndani yazinduliwa

DAR-ES-SALAAM: KAMPUNI ya Startimes imesema itaendelea kuunga mkono Ligi ya Championship ili kuwapa nafasi vijana kuonesha vipaji na kujiuza kimataifa.…

Soma Zaidi »

Barcelona yamwita Messi kucheza Camp Nou

KLABU ya Barcelona ipo katika mazungumzo na Inter Miami ya Marekani kuhusu Lionel Messi kurejea klabu hiyo kucheza mechi moja…

Soma Zaidi »

Jeshi la polisi lakabidhiwa jezi 200

ARUSHA: Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kupitia klabu yake inayofaya mazoezi ya kukimbia (Joggin) imekabidhiwa   jumla ya jezi 200…

Soma Zaidi »

Tengeneza Saliboko wengine- Dkt Ndumbaro

PARIS: Karata ya pili ya Tanzania katika mashindano ya Olimpiki ya Paris 2024 imeingia maji leo wakati muogeleaji Collins Phillip…

Soma Zaidi »

Man United yahangaika kusaka mbadala wa Casemiro

TETESI za usajili zinasema Manchester United inahangaika kusaka mrithi sahihi wa kiungo mkabaji Carlos Henrique Casimiro maarufu Casemiro, ambaye imekuwa…

Soma Zaidi »

Saudi Arabia kuandaa kombe la dunia 2034

UFARANSA: Saudi Arabia imeshawasilisha stakabadhi zake za kuonyesha nia ya kugombea kuandaa Kombe la Dunia la 2034 katika mji mkuu…

Soma Zaidi »
Back to top button