Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Picha:Matukio bonanza la Ubaya Ubwela

DAR ES SALAAM; Matukio mbalimbali kwenye bonanza lililoandaliwa na klabu ya Simba ya Dar ea Salaam ‘Bonanza la Ubaya Ubwela’…

Soma Zaidi »

Picha: Yanga yatwaa kombe Afrika Kusini

AFRIKA KUSINI; Timu ya Yanga ya Dar es Salaam imetwaa Kombe la Toyota baada kuifunga Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini…

Soma Zaidi »

Mlugu atamba kufanya vizuri Olimpiki

DAR ES SALAAM; MWAKILISHI pekee wa Tanzania katika mchezo wa judo anayeshiriki Michezo ya 33 ya Olimpiki, Andrew Mlugu amesema…

Soma Zaidi »

Gamondi, Nabi kuoneshana kazi leo

AFRIKA KUSINI; YANGA leo itamenyana na Kaizer Chiefs katika michuano ya Kombe la Toyota mchezo utakaochezwa kwenye Uwanja wa Free…

Soma Zaidi »

Biteko ataka huduma bora kwa wananchi

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewakumbusha Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake kuiishi…

Soma Zaidi »

Gwiji wa Brazil Zico aporwa Ufaransa

GWIJI wa soka wa Brazil Arthur Antunes Coimbra maarufu Zico amekuwa muathirika wa wizi katika Michezo ya Olimpiki Paris 2024…

Soma Zaidi »

Tamasha la Ligae kufanyika Agosti.

DAR-ES-SALAAM: Waziri wa utamaduni sanaaa na michezo Damas Ndumbaro kufungua  unguzi tamasha kubwa la Ligae award 2024 jijini Dar es…

Soma Zaidi »

Vilabu lipeni ada ya ushiriki

ARUSHA: TAASISI na Mashirika ambayo yana malimbikizo ya ada za ushiriki wa michezo ya wafanyakazi zimeombwa kulipia ada ya ushiriki…

Soma Zaidi »

Diamond apongezwa kuitangaza Tanzania

DAR-ES-SALAAM: Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amempongeza Msanii wa Bongo fleva Diamond Platnumz kwa kuwafikisha…

Soma Zaidi »

Man City imeona kitu kwa Dani Olmo

TETESI za usajili zinasema Manchester City imetuma ofa kumsajili kiungo wa Hispania Dani Olmo, 26, anayekipiga katika klabu ya RB…

Soma Zaidi »
Back to top button