Sayansi & Teknolojia

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Wafanya udahili maonesho elimu ya juu

WANAFUNZI waliokatisha masomo yao nchini Sudan kutokana na sababu mbalimbali nchini humo wameanza kupata tumaini la kuendelea na masomo yao…

Soma Zaidi »

Nape: Watanzania wanastahili huduma bora ya mawasiliano

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema serikali inafanyia kazi malalamiko yanayotolewa na wananchi kuhusu huduma za mawasiliano.…

Soma Zaidi »

Mataifa 11 yajadili ubunifu kidijitali

MATAIFA 11 zimekutana Tanzania kwa ajili ya kubadilishana uzoefu wa jinsi ya kuwasaidia wabunifu wa kidijitali walioko katika nchi hizo.…

Soma Zaidi »

Teknolojia kukabiliana na moto wa misitu

SERIKALI imewekeza katika teknolojia za kisasa za magari na satelite katika kukabiliana na moto unapotokea kwenye misitu. Mtendaji Mkuu wa…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 13 kujenga minara Kagera

SERIKALI imetenga bilioni 13 kwa ajili ya kujenga minara ya mawasiliano na usalama 44 mkoani Kagera ambayo itawezesha vijiji 66…

Soma Zaidi »

Tembo Nickel yatabiriwa kubadilisha sekta ya madini

KAMISHNA wa Madini kutoka Tume ya Madini, Janet Lekashingo amesema mradi wa Kabanga Nickel wilayani Ngara katika Mkoa wa Kagera…

Soma Zaidi »

DART yajipanga kwenda nje ya Dar es Salaam

WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umesema mchakato wa kuwa na sheria inayoruhusu kutoa huduma nje ya Mkoa wa Dar…

Soma Zaidi »

Mpango mzima, NIC Kiganjani

NIC Insurance katika  kuboresha huduma  zao na  kuwarahisishia  wananchi kujiunga na bima, wamekuja na ‘bima kiganjani’ ambayo mwananchi yoyote anaweza…

Soma Zaidi »

Reshaping Industries with AI: Huawei Cloud Launches Pangu Models 3.0 and Ascend AI Cloud Services

The annual HUAWEI Developer Conference — HDC.Cloud 2023 for this year — officially kicked off in Dongguan, China on July…

Soma Zaidi »

Wakulima sasa kupanda, kufukia kwa kutumia mashine

UTAFITI wa kutengeneza teknolojia ya kuwawezesha wakulima kupanda kwa nafasi sahihi na kwa muda mfupi zao la pamba umekamilika. Mtafiti…

Soma Zaidi »
Back to top button