Sayansi & Teknolojia

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Taka zageuzwa kuwa mapambo

TAKA za chupa za kioo na karatasi zimeweza kuboreshwa na kutengenezwa mapambo ya ndani. Mkufunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma…

Soma Zaidi »

Abuni mabaki makaa ya mawe kuwa mkaa

MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM), Anna Emanuely…

Soma Zaidi »

Kongamano la watafiti, wanasayansi, wabunifu lilivyonoga Dar

“MCHANGO wa bioteknolojia ya kisasa katika kuendeza mapinduzi ya nne ya viwanda,” hiyo ni miongoni mwa mada zilizotikisa katika Kongamano…

Soma Zaidi »

Utafiti, Tehama njia bora kutunza afya kwa jamii

“TANZANIA kwa mara ya kwanza tulishaanza kupandikiza uloto, tumeshapandikiza wagonjwa 11 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na mmoja kutoka…

Soma Zaidi »

Simu janja kuanza kutengenezwa Pwani

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema mkoa huo unajiandaa kuanza kutengeneza simu janja. Kunenge amesema hayo mjini Kibaha…

Soma Zaidi »

Serikali kupunguza urudufu wa mifumo

KAMATI ya Ufundi ya Serikali Mtandao imeanika mikakati mbalimbali inayoonesha namna itakavyotekeleza majukumu yake ya kila siku katika kutumikia umma…

Soma Zaidi »

Nape akanusha gharama mawasiliano kupanda

WIZARA ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imesema tangu Oktoba mwaka jana gharama za mawasiliano nchini hazijaongezeka na pia…

Soma Zaidi »

DIT yaanza kutoa mafunzo ya matumizi ya vishikwambi kwa walimu

TAASISI ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imeanza kutoa mafunzo kwa walimu waliopatiwa vishikwambi. Aidha, imesema walimu hao pia wanapaswa…

Soma Zaidi »

TPDC yakagua mitambo ya gesi

SHIRIKA la Maendeleo ya Petrol Tanzania ( TPDC) limekagua mitambo ya utafiti wa mafuta na gesi kwa njia ya mitetemo…

Soma Zaidi »

Serikali kuongeza udahili wanafunzi wa kike

SERIKALI imesema itaendelea na mpango wa kuongeza udahili kwa wanafunzi wa kike kupitia mpango wa kuongeza fursa za ziada kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button