Sayansi & Teknolojia

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Utafiti uzalishaji miche maabara unavyoongeza thamani ya mazao

UTAFITI wa miche bora ya mimea ni sehemu muhimu katika kupata mazao bora na yenye tija kwa mkulima, ili kuweza…

Soma Zaidi »

Teknolojia ya vifuu katika uchenjuaji madini inavyookoa gharama, mazingira  

Ubunifu na ukuaji wa matumizi ya teknolojia ni hatua  muhimu katika jamii iliyolenga kujikwamua au kutatua changamoto lukuki zinazoikabili. Kwa…

Soma Zaidi »

COSTECH yatumia Sh bilioni 4.2 kuwezesha wabunifu

TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imetumia zaidi ya Sh. Bilioni 4.2 kwa wabinifu 178 ili kuendeleza ubunifu…

Soma Zaidi »

DIT yatoa mafunzo ya Tehama bure kwa walimu    

TAKRIBANI walimu 100 wa shule za msingi wilayani Ilemela, mkoani hapa, wananufaika na mafunzo ya Tehama bila malipo katika Taasisi…

Soma Zaidi »

Wanafunzi 150 DIT kunufaika kubadilishana mafunzo China

TAKRIBANI wanafunzi 150 wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) iliyopo jijini Dar es Salaam watanufaika na mafunzo ya…

Soma Zaidi »

Walemavu wa miguu sasa kuendesha magari wenyewe

MTAFITI na mbunifu wa kifaa maalum kinachomwezesha mtu mwenye ulemavu wa miguu kuendesha gari, Joseph Taifa  amesema ni muda sasa…

Soma Zaidi »

Tanzania, Marekani kushirikiana teknolojia 5G

MAKAMU wa Rais wa Marekani, Kamala Harris amemhakikishia Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Marekani itashirikiana na Tanzania katika maendeleo ya…

Soma Zaidi »

Wanawake Tehama watakiwa kutatua changamoto za jamii

MHADHIRI kutoka Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Dk, Neema Mduma ametoa wito kwa wanawake walio…

Soma Zaidi »

Wajadili changamoto magonjwa ya mifugo

WATAALAMU kutoka vyuo vikuu viwili vya vya Taasisi ya Afrika ya Sayansi, Teknolojia ya Nelson Mandela(NM-AIST) na Chuo Kikuu cha…

Soma Zaidi »

Walimu wa uhandisi kupelekwa viwandani kujifunza

WALIMU wanaoanza kazi katika vyuo vya uhandisi wameandaliwa programu mahususi ya kwenda kujifunza viwandani na kupata ujuzi ikiwa ni moja…

Soma Zaidi »
Back to top button