Bunge

Majaliwa atoa maelekezo suala la maboma

DODOMA; Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kufanyika kwa tathimini ya kubaini maboma yote ambayo hayajakamilika, kisha halmashauri iweke kwenye bajeti…

Soma Zaidi »

Barabara Kongowe-Kibada Kukarabatiwa mabega

DODOMA; SERIKALI imesema ipo kwenye hatua ya ununuzi ya kumpata mkandarasi wa kufanya ukarabati wa mabega ya Barabara ya Kongowe-Kibada…

Soma Zaidi »

Spika: Serikali ifanye tathimini uagizaji mafuta

DODOMA; SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson ametaka ifanyike tathmini ya mfumo mpya wa uagizaji mafuta nchini. Ametoa kauli hiyo…

Soma Zaidi »

Mashirika ya umma kuimarika sheria ya ununuzi

SERIKALI leo Septemba 7, 2023 imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma wa mwaka 2023, huku ikiainisha matokeo…

Soma Zaidi »

Muswada Sheria ya Ununuzi wa Umma watua bungeni

SERIKALI leo Septemba 7, 2023 imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma wa mwaka 2023. Waziri wa Fedha…

Soma Zaidi »

Hakuna zuio kutoa taarifa Vituo vya Polisi

DODOMA; Hakuna zuio lolote la kuwahudumia wananchi wanaohitaji huduma za polisi kwenye vituo vilivyo nje na maeneo yao, Bunge limeelezwa.…

Soma Zaidi »

‘Kuna wimbi kubwa ongezeko la wanyama’

DODOMA; WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema kumekuwa na wimbi la ongezeko la wanyama katika misitu nchini kutokana na kudhibitiwa kwa…

Soma Zaidi »

Majaliwa atoa ufafanuzi wanyama kuvamia makazi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Wizara ya Maliasili na Utalii imeunda kamati maalum kuhusu suala la uvamizi wa wanyama kwenye…

Soma Zaidi »

Majaliwa ataka wadau wahusishwe mafuta

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametaka kuhusishwa kwa wadau mbalimbali wa masuala ya mafuta, zikiwemo taasisi za uagizaji mafuta nchini. Waziri…

Soma Zaidi »

Majaliwa ampa maagizo Biteko suala la mafuta

DDODOMA; WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Dotto Biteko kushughulikia suala la upatikanaji…

Soma Zaidi »
Back to top button