Dodoma

Samia ataka mifumo ya haki isomane

RAIS Samia Suluhu Hassan, ametaka mifumo ya kutoa haki nchini isomane ili kuepusha vitendo vya rushwa pamoja na wananchi kupokwa…

Soma Zaidi »

MaDC wapya watakiwa kuheshimu viapo vyao

KATIBU  Msaidizi  wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kanda ya Kati Dodoma, Jasmini Awadhi, amewataka wakuu wapya wa…

Soma Zaidi »

‘Hakikisheni mnatatua migogoro ya ardhi’

MKUU wa Mkoa wa Tanga Omar Mgumba, amewataka wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha wanatatua na kumaliza migogoro ya ardhi…

Soma Zaidi »

Samia ataka uchunguzi fedha za ‘plea bargain’

RAIS Samia Suluhu Hassan ameonesha kushangazwa na fedha zilizokusanywa za adhabu ya makubaliano baada ya kukiri kosa (plea bargain), ambazo…

Soma Zaidi »

Watumishi wasioenda likizo wanaiibia serikali

WATUMISHI wameonywa kuacha tabia ya kutokwenda likizo kwani kufanya hivyo ni kuiibia serikali. Kauli hiyo imetolewa na Ofisa Utumishi Wilaya…

Soma Zaidi »

Wasaka dawa ukatili dhidi ya watoto

KUKITHIRI vitendo vya ukatili kwa watoto nchini, Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imekutana na Waziri wa Maendeleo…

Soma Zaidi »

Walimu waliocheka mtoto akichapwa wasimamishwa

KATIBU Tawala Mkoa wa Kagera, Toba Nguvila amewasimamisha kazi watumishi watano akiwamo Mratibu Elimu Kata ya Kakanja na walimu wanne…

Soma Zaidi »

‘Juhudi za pamoja zinahitajika kukabili ukatili kwa watoto’

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia  Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amesema juhudi za kukabiliana na ukatili…

Soma Zaidi »

Mkeka wa Wakuu wa Wilaya huu hapa

RAIS Samia Suluhu Hassan ameafanya uteuzi wa Wakuu wapya wa Wilaya 37, kuwahamisha vituo vya kazi Wakuu wa Wilaya 48…

Soma Zaidi »

Samia avipongeza vyombo vya habari kwa kazi nzuri

RAIS Samia Suluhu Hassan amevipongeza vyombo vya habari nchini kutokana na kufanya kazi nzuri mwaka jana kwa kuandika habari ambazo…

Soma Zaidi »
Back to top button