Dodoma

‘Tozo zimesaidia afya, elimu, miundombinu’

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amesema bajeti ya mwaka wa…

Soma Zaidi »

Ummy atoa siku 14 udanganyifu NHIF

WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu,  ametoa siku 14 kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kupeleka mpango wa…

Soma Zaidi »

Mwigulu: Sina biashara hata ya Bajaji

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba, amesema hamiliki mabasi ya abiria, wala hana biashara hata ya Bajaji. Ametoa…

Soma Zaidi »

Mwigulu aeleza umuhimu wa tozo

WABUNGE nchini waliamua kupitisha tozo mbalimbali, ili zisaidie miradi mikubwa ya kimkakati iliyopo nchini. Kauli hiyo imetolewa muda mfupi uliopita…

Soma Zaidi »

Samia aungwa mkono upelelezi wa kesi

WADAU wa masuala ya sheria wameunga mkono agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kwamba polisi wamalize upelelezi kwanza kabla ya…

Soma Zaidi »

SENSA22: Asilimia 99.93 wamehesabiwa

OFISI ya Taifa ya Takwimu NBS imesema asilimia 99.93 ya watu wamehesabiwa katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi…

Soma Zaidi »

Samia atoa maagizo manne Magereza

RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo manne kwa Jeshi la Magereza Tanzania ikiwemo kuzingatia weledi, kuzingatia haki zote kwa wafungwa,…

Soma Zaidi »

Samia awaagiza majaji kufanyakazi kwa maadili

RAIS Samia Suluhu Hassan amewaagiza majaji wafanye kazi kwa kuzingatia haki, weledi na maadili. Alisema hayo jana katika Ikulu ya…

Soma Zaidi »

Watoto 93,218 kupatiwa chanjo ya polio Arusha

WATOTO zaidi ya  93,218 walio chini ya umri wa miaka mitano, wanatarajia kupata chanjo ya polio itakayoanza kutolewa Septemba1 hadi…

Soma Zaidi »

Mwitikio mkubwa Dodoma tiketi za mabasi mtandaoni

MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imesema kuna mwitikio mkubwa mkoani Dodoma wa wananchi kukata tiketi kielektroniki kwa mabasi yaendayo…

Soma Zaidi »
Back to top button