Kanda

Mbaroni kwa kulevya na kuwaibia wanawake

JESHI la Polisi mkoani Morogoro limekamata watu wawili, Paulo Erick (48) maarufu Shayo na Dickson Mashamu (33) maarufu kwa jina…

Soma Zaidi »

Nyumba iliyoziba geti la jirani ‘yabanwa’

NAIBU Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Juma Makungu Juma ametoa wiki moja nyumba iliyopo Fuoni Migombani ivunjwe baada…

Soma Zaidi »

Kamati ya Kudumu ya Bunge yampigia chapuo Mkurugenzi NHC

WABUNGE ambao ni wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wamesifu ubunifu na utendaji wa…

Soma Zaidi »

Wanawake 1200 wanufaika elimu ya malaria

WANAWAKE wanaonyonyesha na wajawazito zaidi ya 1200, wamenufaika na elimu ya maambukizi ya ugonjwa wa malaria pamoja na Uviko-19, iliyotolewa…

Soma Zaidi »

Ajali ya Hiace yaua wawili, yajeruhi Handeni

WATU wawili wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, baada ya gari aina ya Toyota Hiace kuligonga lori kwa nyuma katika…

Soma Zaidi »

Mkandarasi awekwa ndani ujenzi wa shule Karagwe

MKANDARASI wa shule mpya ya sekondari ya wasichana ya Kagera River, amekamatwa kutokana na kusuasua kwa ujenzi. Hatua ya kukamatwa…

Soma Zaidi »

Zogo laibuka uchaguzi madereva bajaji Katavi

MADEREVA bajaji Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi, wamegomea uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa Kijiwe cha Bajaji Soko Kuu, kwa…

Soma Zaidi »

Madereva School Bus wadaiwa kunajisi watoto

WILAYA ya Kinondoni imenzisha utaratibu wa kuweka Matron katika gari za kubeba wanafunzi kutokana na kuibuka kwa vitendo vya ubakaji…

Soma Zaidi »

Sheria mpya ya usimamizi wa maafa yafanyiwa kazi

SERIKALI imeandaa mapendekezo ya kutungwa kwa sheria mpya ya usimamizi wa maafa ili kuweka mfumo wa udhibiti na uratibu wa…

Soma Zaidi »

Asilimia 99.99 ya kaya zahesabiwa

SERIKALI imesema imefanikisha Sensa ya Watu na Makazi kwa kuhesabu kaya asilimia 99.99 na majengo asilimia 99.87. Kamisaa wa Sensa…

Soma Zaidi »
Back to top button