Kanda

KAMPUNI ya Huduma za Meli (MSCL) imesema meli ya Mv Mwanza – Hapa Kazi ni kubwa kuliko zote katika Ziwa…

Soma Zaidi »

Maaskofu wanasurika ajali Dodoma

ASKOFU Mkuu wa Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Donald Mtetemela  na Askofu Mstaafu wa Jimbo la Tanga Phillip Bàdi…

Soma Zaidi »

Mbaroni akidaiwa kuwadanganya Zimamoto

JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoani Geita, linamshikilia Shedida Ibrahim mkazi wa Mtaa wa Mkoani mjini Geita, kwa kosa la…

Soma Zaidi »

Kinana akemea rushwa uchaguzi CCM

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Abdulraman Kinana amesema anatamani malaika washuke, ili wajumbe ambao ni wapiga…

Soma Zaidi »

Waziri Mabula acharuka madudu ardhi

WAZIRI ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angelina Mabula, amekasirishwa na utendaji kazi mbovu na kutokuwa na ushirikiano…

Soma Zaidi »

Waziri wa Ardhi atoa maagizo majengo, vituo vya mafuta

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angelina Mabula ameagiza kusimamishwa kwa ujenzi wa majengo yanayojengwa kinyume cha…

Soma Zaidi »

Raia wa Uganda akutwa na mihuri ya TRA, kilimo

JESHI la Polisi mkoani Kagera, linamshikiria raia wa Uganda akidaiwa kumiliki, kutumia  mihuri mitatu ya serikali kinyume na sheria  za…

Soma Zaidi »

Walimu Z’bar ziarani Mara

WALIMU wasiopungua 50 kutoka Zanzibar, wapo mkoani Mara kujifunza na kuunga mkono mpango wa kukuza utalii, uliyozinduliwa na Rais wa…

Soma Zaidi »

RC Tanga aeleza kilichomponza DED Muheza

Mkuu wa mkoa wa Tanga, Omar Mgumba ametaja sababu za kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza,…

Soma Zaidi »

‘Geita ipangwe kisasa’

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amezitaka Halmashauri ya Mji wa Geita na Ofisi ya…

Soma Zaidi »
Back to top button