Kanda

Watu wawili wauawa kambini TFS

WATU wawili wamekufa na wengine sita wamejeruhiwa baada ya watu wanaoaminika ni wafugaji kuvamia kambi ya Wakala ya Huduma za…

Soma Zaidi »

Viongozi 9 kuchunguzwa baraza la maadili

SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma imepeleka malalamiko kwenye baraza la maadili yanayohusu tuhuma za ukiukwaji wa maadili kwa…

Soma Zaidi »

Mv Mwanza yakaribia kuinogesha Kanda ya Ziwa

MELI ya Mv Mwanza ‘Hapa kazi’ ni meli kubwa kuliko zote zilizowahi kuelea katika maziwa  ya Victoria, Tanganyika na Nyasa…

Soma Zaidi »

Kilio cha wavuvi Mwanza chamfikia Kinana

WAVUVI wa Mikoa ya Mwanza na Mara, wamewasilisha kilio chao kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, wakilalamika…

Soma Zaidi »

Polisi yaonya magari ya shule yasiyokaguliwa

JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha, limefanya ukaguzi wa magari ya shule mbalimbali mkoani humo, ambapo zaidi ya magari 150…

Soma Zaidi »

‘Tumieni fursa ya msamaha kusalimisha silaha haramu’

SERIKALI imewataka wananchi wote wanaomiliki silaha  kinyume cha sheria, watumie fursa ya msamaha kusalimisha silaha wanazozimiliki isivyo halali. Kauli hiyo…

Soma Zaidi »

BRELA waombwa kusaidia wafanyabiashara Mara

RAIS wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA),  Paul Koy, ameishauri Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA),…

Soma Zaidi »

CCM wapongeza ujenzi Daraja la Magufuli Mwanza

CHAMA  Cha Mapinduzi (CCM), kimeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Magufuli lililopo maeneo ya Daraja hilo linalounganisha mikoa ya…

Soma Zaidi »

Dawasa waboresha mifumo ya maji Kisarawe

MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA – KISARAWE), inatekeleza kazi ya maboresho ya mfumo wa…

Soma Zaidi »

Wajumbe baraza la usalama barabarani wateuliwa

WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefanya uteuzi wa Mwenyekiti, Makamu Mwenyeiti na wajumbe 18 wa Baraza la Taifa…

Soma Zaidi »
Back to top button