Kanda

Majaliwa ataka kasi ujenzi barabara ya mzunguko

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza wakandarasi wa ujenzi wa mradi wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma…

Soma Zaidi »

Kusema ajali haina kinga ni kuendelea kujimaliza

AJALI haina kinga na alipangalo Mola hakuna mja anaweza kulipangua ni baadhi ya semi ambazo zimekuwa zikitumika sana baada ya…

Soma Zaidi »

‘Kujituma, ubunifu vitaondoa changamoto za kiuchumi’

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amesema changamoto nyingi za kiuchumi katika jamii…

Soma Zaidi »

Wakulima Kongwa wakabidhiwa trekta 15

MKUU wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Remidius Emmanuel amekabidhi trekta 15 kwa wakulima wilayani humo katika hafla fupi iliyoandaliwa…

Soma Zaidi »

Waagizwa kuzingatia usalama mahali pa kazi

MKUU wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Remidius Emmanuel amewataka wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi ya GS Contractors kuzingatia tahadhari…

Soma Zaidi »

Familia yaomba mume aliyeua mkewe asakwe

NDUGU na majirani wa mwanamke aliyedaiwa kuuawa na mumewe kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali mwilini katika Mtaa wa…

Soma Zaidi »

Mama wa watoto 4 waliovunjika miguu ajalini asimulia

MKAZI wa Dodoma, Salama Omary ni miongoni mwa abiria waliokuwa katika ajali ya basi Super Najimunisa na kusababisha watoto wake…

Soma Zaidi »

Chalamila: Tatizo Kagera kila mtu mwanasheria, vingereza vingiii

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila, amedai kuwa Mkoa wa Kagera hauendelei kibiashara kwa sababu mbalimbali, lakini mojawapo ni…

Soma Zaidi »

Mabasi mapya 177 ya mwendokasi kuinogesha Dar

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amesema serikali ipo  hatua za…

Soma Zaidi »

Mgodi wakusudia kupunguza eneo ililotaka

MPANGO wa kupanua wigo wa uwekezaji katika mgodi wa dhahabu wa Barrick North Mara, uliyopo Nyamongo, Tarime, mkoani Mara umeendelea…

Soma Zaidi »
Back to top button