Year: 2022

Afya

Miaka 3 wanawake 263 wamepoteza maisha kwa uzazi

WANAWAKE 263 wamepoteza maisha kutokana na uzazi katika kipindi cha mwaka 2018 hadi 2021, huku sababu nne zikielezwa kuchangia vifo…

Soma Zaidi »
Utalii

Tanzania yaongoza kwa nyati wengi Afrika

TANZANIA inatajwa kuwa nchi inayongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya nyati barani Afrika kwa kuwa na jumla ya nyati…

Soma Zaidi »
Jamii

Mikoa 5 yakithiri ukataji miti

MIKOA mitano imetajwa kuwa vinara wa ukataji miti hovyo na kuharibu vyanzo vya maji. Mikoa hiyo iliyotajwa kuharibu misitu na…

Soma Zaidi »
Kanda

Serikali yaja na mkakati nishati safi ya kupikia

SERIKALI imetangaza dira na mkakati wa miaka 10 ya kuhamia kwenye nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 20232. Akitangaza mkakati…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Nabi akili nyingi mechi na Watunisia

KOCHA wa Yanga, Nasreedin Nabi amekataa kuwataja wachezaji wawili watakaosekana kwenye mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika…

Soma Zaidi »
Infographics

Watakiwa kupanda miti ya matunda Mil. 1.5

WAKUU wa Mikoa wametakiwa kuhamasisha upandaji miti 1,500,000 ya matunda katika mikoa yao. Maelekezo hayo yametolewa na Rais Samia Suluhu…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

YST yachagua 12 Lindi kushiriki maonesho Dar

TAASISI ya Wanasayansi Chipukizi Tanzania (YST), imechagua wanafunzi 12 kutoka katika shule za sekondari sita za mkoa wa Lindi kushiriki…

Soma Zaidi »
Jamii

Rais Samia atoa maelekezo nishati safi ya kupikia

RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa maelekezo ya kuundwa kwa kikosi kazi cha taifa, ambacho kitaongozwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa…

Soma Zaidi »
Jamii

Kizimbani kwa kusafirisha binadamu kinyume cha sheria

MKAZI wa Tabata Mawenzi, Mohamed Masoli amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka ya…

Soma Zaidi »
Kanda

Tunduru watakiwa kupanda miti maeneo yao

MKUU wa Wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro amewataka viongozi ngazi ya vijiji, kata na halmshauri kuhakikisha upandaji miti…

Soma Zaidi »
Back to top button