Year: 2023

Zanzibar

“Ni wakati wa kupambana na waghushi nyaraka”

KAMISHNA wa Jeshi la Polisi, Zanzibar Hamad Khamis Hamad amesema kughushi nyaraka za miradi mbalimbali katika taasisi za serikali na…

Soma Zaidi »
Afya

Dar es Salaam kujengwa hospitali ya Apollo

TANZANIA na Mtandao wa Hospitali za Apollo kutoka India zimeingia makubaliano ya kudumu ujenzi wa hospitali ya Apollo katika jiji…

Soma Zaidi »
Africa

Museveni: Tunaweza kuendelea bila kuungwa mkono

KAMPALA; RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni hana wasiwasi wowote baada ya taifa lake kuondolewa katika mpango maalumu wa kibiashara wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Ahmed Ally atoka mafichoni

DAR ES SALAAM: Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed Ally amewataka mashabiki wa timu hiyo kuwa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Yanga ni kama maji haikwepeki

DODOMA: SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameipongeza klabu ya Yanga kwa ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Simba. Pongezi…

Soma Zaidi »
Infographics

‘Wenye malalamiko fuateni utaratibu kudai fidia’

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imewataka wananchi wapapopata hasara kutokana na kile wanachodai kuwa ni…

Soma Zaidi »
Jamii

Mradi wa maji Uhambingeto wakamilika

WAKALA wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoa wa Iringa imefanikiwa kuukamilisha mradi wa maji wa Uhambingeto wilayani…

Soma Zaidi »
Biashara

Mvua zakimbiza samaki

SAMAKI aina ya dagaa mchele na saladini wameadimika katika soko la Kimataifa la Samaki Feri mkoani Dar es Salaam na…

Soma Zaidi »
Dodoma

PURA yajivunia mafanikio kupitia Baraza la Wafanyakazi

DODOMA: Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Charles Sangweni amesema ufanisi…

Soma Zaidi »
Bunge

Mkurugenzi Igunga asimamishwa kazi kwa ubadhirifu

DODOMA; WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button