Year: 2023

Kimataifa

Watu 17 wafa maporomoko ya udongo Lisala

WATU 17 wameuawa katika maporomoko ya udongo huko DR Congo. – Maafa hayo yalitokea usiku wa kuamkia Jumapili karibu na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Nguvu ya pamoja yatakiwa maadili kwa watoto

MKUU wa Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, Grace Kingalame amewataka wazazi au walezi kuunganisha nguvu na walimu wa watoto wao…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wakulima wapata Sh bilioni 32 mauzo mbaazi

WAKULIMA wa zao la mbaazi ghafi mkoani Lindi wamepata Sh bilioni 32.8 msimu huu. Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Ajali yaua 20 Limpopo

TAKRIBANI watu 20 wamefariki nchini Afrika Kusini baada ya kutokea ajali barabarani katika jimbo la kaskazini la Limpopo. Waathirika wa…

Soma Zaidi »
Africa

Libya yatangaza hali ya dharura

SERIKALI ya Libya imetangaza hali ya dharura ya mwaka mzima kwa lengo la kuzuia kuenea magonjwa ya kuambukiza katika maeneo…

Soma Zaidi »
Siasa

Wananchi Mbarali kupiga kura kesho

MBEYA,Mbarali: Wananchi wa Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya kesho wanatarajia kupiga kura kumchagua Mbunge. – Uchaguzi huo unafanyika kuziba nafasi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Takukuru kuchunguza vyama kutolipa wakulima

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Chrisitina Mndeme ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani humo kuchunguza vyama…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Nzi wakwamisha biashara ya embe

ZANZIBAR; WIZARA ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo imesema inaendelea na utafiti wa wadudu akiwamo nzi ambao wamekuwa wakishambulia mazao…

Soma Zaidi »
Infographics

Watakiwa kutunza miradi ya TASAF

GEITA; Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,George Simbachawene amewasihi wananchi kuthamini na…

Soma Zaidi »
Jamii

RC Arusha aagiza kuanza ujenzi shule wasichana

ARUSHA; Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella ameagiza kuanza mara moja kwa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana…

Soma Zaidi »
Back to top button