Year: 2024

Infographics

Madiwani Iringa waonya watendaji

IRINGA; BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, limetoa onyo lingine kwa watendaji wanaoisababishia hoja za ukaguzi halmashauri…

Soma Zaidi »
Tanzania

Huduma wanaoishi na VVU Kigoma safi

KIGOMA: Kutekelezwa kwa mpango wa kliniki tembezi maarufu kama Mkoba ya huduma za kinga, tiba na matunzo (CTC)  kupitia shirika…

Soma Zaidi »
Dodoma

Samia asisitiza maadili bora kwa watoto

DAR ES SALAAM :RAIS Samia Suluhu Hassan ameisihi jamii kuhakikisha inawapatia malezi na maadili bora watoto. Rais Samia amesema hayo…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Majaliwa atoa maelekezo vikundi vya jogging

DAR ES SALAAM; Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya nchini kufanya mapitio ya vikundi…

Soma Zaidi »
Tanzania

DC aagiza madalali wakamatwe

DAR ES SALAAM :MKUU wa Wilaya Temeke, Sixtus Mapunda, ameagiza kutafutwa na kukamatwa, kisha kufikishwa mahakamani wote wanaouza viwanja vya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanne wafa ajali ya ‘Coaster’ Tanga

TANGA; Watu wanne wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa katika ajali ya lori la mizigo (T 925 CAU) lililokuwa likitokea…

Soma Zaidi »
Africa

Ramaphosa achaguliwa muhula wa pili urais

AFRIKA KUSINI – KIONGOZI wa Chama cha African National Congress (ANC), Cyril Ramaphosa amechaguliwa kuhudumu kwa muhula wa pili kama…

Soma Zaidi »
Featured

Wanne wafa, lori likigongana na coaster

MUHEZA, Tanga – Watu wanne wamekufa papo hapo na wengine wanne kujeruhiwa kufuatia ajali ya lori la mizigo kugonga basi…

Soma Zaidi »
Dodoma

Sefue ataja mafanikio Tume Haki Jinai

DODOMA – KAMATI ya kuandaa mkakati wa kutekeleza Tume ya Haki Jinai, imekabidhi mkakati wa kutekeleza mapendekezo ya tume huku…

Soma Zaidi »
Afya

Waziri Ummy anogesha Kampeni Holela-Holela Itakukosti

DODOMA. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, amekutana na kufanya mazungumzo na KIDO, ambaye ni Balozi wa Kampeni ya Holela-Holela itakukosti.…

Soma Zaidi »
Back to top button