Year: 2024

Chaguzi

Asas aonyesha matumaini ya ushindi mkubwa wa CCM

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Asas amepiga kura na kuonyesha matumaini kuwa viongozi watakaochaguliwa katika uchaguzi huu…

Soma Zaidi »
Chaguzi

 Nanyamba wafurika upigaji kura

WANANCHI wa Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara wamejitokeza kupiga kura kwa ajili ya kuwachagua viongozi mbalimbali wa serikali za…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Byabato apiga kura, asisitiza nyumba kwa nyumba

MBUNGE wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato amepiga kura kuwachagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika kituo cha…

Soma Zaidi »
Featured

“Maafisa udhibiti ubora zingatieni sheria, weledi”

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Wilson Mahera amewataka Maafisa Uthibiti Ubora wa Wilaya kutilia mkazo…

Soma Zaidi »
Infographics

Lugangira apiga kura, ataka wananchi kujitokeza

Mbunge Wa Viti Maalum anayetokana na Asasi za Kiraia Tanzania Bara, Neema Lugangira  amewaongoza wakazi wa mtaa wa Rwome kata…

Soma Zaidi »
Chaguzi

RC Kagera asisitiza utulivu upigaji kura

MKUU wa Mkoa Kagera, Hajjat Mwassa amewataka wakazi wa mkoa kuwa watulivu, kuzingatia taratibu uchaguzi na kurejea nyumbani badaa ya…

Soma Zaidi »
Jamii

Mume, mke mbaroni kifo cha mtoto

MBEYA; JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia mume na mke kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wao, Chloy Ramadhan…

Soma Zaidi »
Jamii

Ahukumiwa jela maisha kwa kumnajisi mtoto wa miaka 8

MAHAKAMA ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha maisha jela mkazi wa Kijiji cha Inalo wilayani humo, Isacka…

Soma Zaidi »
Jamii

Mwanafunzi aliyeombwa ngono kulipwa mil 10/-

DAR ES SALAAM; MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam imemhukumu aliyekuwa Ofisa Tehama wa Chuo Kikuu cha…

Soma Zaidi »
Infographics

Wananchi Shinyanga wajitokeza kupiga kura

WANANCHI Manispaa ya Shinyanga wamejitokeza katika kupiga kura za kuwachagua viongozi wa Serikali za Mtaa huku wakitakiwa kulinda amani kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button